Recent content by Kajeba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Sijanyi zoezi lolote zaidi ya kula huku nikitarajia kitambi kitoke
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Muhimu kitambi kitajiondokea, sina shaka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    35 mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Kwahiyo hata kitambi changu kitaporomoka chenyewe?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya ndoa hapana aisee anakununia siku nzima afu asubuhi unatakiwa umuachie matumizi

    Kabla asubuhi kufika, mgeuze bila kumuandaa ichape kama ataendelea kununa bila ushirikiano
  6. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Koma kuchanganya liverpool na ujinga
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba TLS wafungue kesi ya kikatiba dhidi ya serikali kuifungia Jamii forums bila makosa

    Jf inatia hurumua, juzi nilisumbuana na mods kuwapima kama nitapigwa ban lakini wapi Now wanabembeleza tuendelee kuepo humu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyotikisa 2025 nchini Tanzania, namba 8 ni maajabu

    Ndio imeisha hiyo..sasa ni mama wa nyumbani aka golikipa
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

    Mtu yuko gerezani lakini bado mnamfuatilia Chama hakijashiriki uchaguzi bado mnakitajataja..huu ndio muhaho sasa
  10. K

  11. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyotikisa 2025 nchini Tanzania, namba 8 ni maajabu

    Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025 Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29) Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi. Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC, Maendeleo ya Kesi ua Uhalifu dhidi ya Utu

    Watamkamatia wapi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Watanzania Kuhusu Tarehe 9 Desemba 2025 (Pamoja na Vitu Muhimu vya Kujiandaa)

    Alaaniwe mtu yule mwenye lengo la kutaka kuvunja muungano huu tukufu
  14. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shirika la Intelwatch la Afrika Kusini limewasilisha mashtaka mahakama ya ICC, kuitaka itoe hati ya kukamatwa kwa wahusika wa mauaji Oktoba 29

    Warant itoke mapema ili maandamano yakianza akose kwa kukimbilia tubaki nae humuhumu achezee kichapo
Back
Top Bottom