Recent content by Kajas2

  1. Kajas2

    Kama ulikuwa unanuna au unachukia kwanini mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ina Maendeleo sana Tanzania, yafuatayo ndiyo majibu yako...

    Mtoa mada unakaa katika mikoa husika mbona maendeleo untosema ni ndoto Arusha Jiji Kuna sadifu maisha magumu tena kwa wazawa Bora ata hiyo mikoa unayosema ya kawaida wanapata huduma za chakula,malazi, nk kuliko Hawa wazee wa ngogwe aisee
  2. Kajas2

    Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

    Wanawake zetu wanazingua yeye Anajua unataka kupanda mlimani ndo anaanza kukuambia sijasuka , kikoba, ada ,nk iyo nguvu inakata unawaza ela ila ugenini aaa hauna jipya utasikia zaidi ya kuimbiwa nyimbo na maneno ya kukufanya upande mlima vyema
  3. Kajas2

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Huyu mwanamke kama atakuwa so mchaga nimekaa pale , kama ni mchaga bro wala usihangaike chukua tu mwingine coz wadada wengi wa kichaga wakishafika kwenye 35+ aisee hukata hisia za kimapenzi hizo kesi zipo nyingi sana tu na kama Huwajui unaweza kuhisi wanatoka nje ya ndoa kumbe Wala hata nadhani...
  4. Kajas2

    Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

    Nadhani hapo wale mnaojifanya kulea watoto kizungu mnakitu Cha kujifunza hapo Kwa hawa jamaa wajanja wanatupa maigizo huku wakituficha uhalisia wa maisha yao . Hakuna asiye na kabila lake na ukijua Hilo utakumbuka kuwa yapo mengi Leo unayopata kama faida ya nasaha na malezi ya utamaduni wenu...
  5. Kajas2

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita mkuje kipende hii Kuna ujumbe wenu mtwambie kama ni kwer au la [emoji3][emoji3] vijana wa KATAA NDOA kabla hawajapitisha azimio la wanaume
  6. Kajas2

    Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Hao hawajui rhumba Fally Ipupa ni[emoji91][emoji91] sikiliza MH hatari tupu
  7. Kajas2

    Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Mm nashangaa sana mzazi anapambana na kupeleka mtoto akasome degree analipa juu ya 12milion kama ada na cost nyinginezo za maisha harafu badae anashidwa kumwezesha ajiajiri, wazazi niwashauri na vijana ukimaliza certificate au diploma inatosha sana tafta ela kama unataka iyo degree utaipata...
  8. Kajas2

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila maisha magumu jamani huku ikiwa imekatwa asilimia za kutosha huku walowapatia elimu wanavuta vitambi na kuamua lini wawalipe[emoji1430][emoji1430]
  9. Kajas2

    GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    [emoji38][emoji38][emoji38] nyie danganyeni watu wakomae na izo GPA za 5 harafu tutakutana kiataani kinachofanya kazi so ufauru Wala usidanganywe na mtu soma Kwa step huku ukiandaa future Yako baada ya chuo .
  10. Kajas2

    Kijana kataa kujitolea, kujitolea ni utumwa, kujitolea ni laana

    Huu ujinga sana wadau acha tu , Kuna Kampuni X walikuja wahitimu tukawa tunafanya nao job kumbe wanajitole aisee si zikatoka chance wakajua wanapewa hapo washapiga miez kama 8 ivi hafu ujinga pale wanakupa laki tu , huwezi amini wakashangaa wameajiriwa wageni aisee Kuna mmoja alikuwa kama...
  11. Kajas2

    Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

    Huyu Hana sera wanaosifia hoja mfu kama hizi ni kama mwanaume anayejawa tamaa baada ya kumwona Binti mrembo bila ya kujua tabia yake na kesho humuua. Hivi Tanzania na Marekani wapi wanautambuzi wa haraka juu ya mambo ya mikataba? Na kama shida ni vifaa vya kupakia na kupakua mizigo wanashidwa...
  12. Kajas2

    Zitto anasema Bandari haijauzwa kwa vile hawawezi kuondoka nayo kama dhahabu

    Kama kweri kasema ivo hasitahili kubaki katika nafasi yake kwenye chama apishe tu , haya kama hajui asome vizuri mkataba atagundua hajauza Dar kauza nchi nzima . Lakini pia usalama wetu utakuwa matatani sijui jeshi halishauli serikali kwenye Hili
  13. Kajas2

    Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

    Unajua kabanga nickel ilianza kuchimba Mwaka Gani mkuu ? Magufuri kasaidia sana suala la Kabanga Nickel maana walicheza sana na huo mgodi awamu zilizomtangulia mpka basi watu wanachimba na kukimbia wakidai hawapati kitu
  14. Kajas2

    Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

    Tatizo la wabongo hasa wabunge wetu na watawala wanawaza Leo na siyo kesho na jingine izi elimu za kupeana tu ( PhD ) zifutwe tu kunawatu mpaka aibu . Mimi so mwanasheria ila wako wanasheria wengi wenye uwezo wa kusaidia serikali hii . Mimi nimepita Kwa Net tu nikagundua Hawa jamaa washakataliwa...
Back
Top Bottom