Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana...
anaonekana anatamaa sana na si mapenzi tena mkeo kama umempenda ataendelea kuwepo tu mpaka kifo kama ni penzi utalipata.nachoua mmi mimba huwa haitabiriki baadhi ya wanawake nyege zote zinapotea wengine anataka kila kukicha,so inategemea na mwili wa mtu,pia kama ananyonyesha huwa hakuna stim...
wadau, hivyi ni kweli kuna baadhi ya masuperstars wa kibongo wameweka ndani na mashuga mumiez n shuga dadiez?
Maana kuna kipindi kilirushwa hivyi karibuni na ITV cha mastaa wa kibongo kuelezea wanavyojilinda dhidi ya ukimwi n mada moja wapo wakazungumzia jinsi wenzao (SIJUI KINA NANI HAO?)...
da wana JF hata mimi naomba msamaha kwa kutojitambulisha naombeni msaada kwenye tuta jamani mnipokee katika ushirikiano wenu.nawapenda sana.naitwa kaisiki ,mail yangu ni imwombek@yahoo.com
mi nampemnda huyo mkeo hivi unataka amwombe nani pengine oficin kuna wakware wanataka mambo anahisi kama hatatamani.kwa kawaida sisi wadada ndo tunalalamika kumbe hata nyinyi mpo.kula viiiiiiiiittttttttttuuuuuuuuzzzzzziiiiii baba.naipenda hiyo hasa upate na picha za MARIA ROZA huchoki mwanangu...
Love is strong as death, its flashes are flashes of fire, a most vehement flame. Many waters cannot quench love, neither can floods drown it. Song of Solomon 8:6
Love is not based on the feeling that I love or do not love someone. Moreover, it evolves with time. When a couple show their love...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.