Recent content by Kaisari

  1. Kaisari

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Sisi hayatuhusu, shauri yao wanaotembea na ma V8, wameza ARV. Sisi hatuhitaji.
  2. Kaisari

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Sisi tunalima , tunakula viazi, ugali, maharage, na wali. Shauri yao wanaotembea na ma V8. Wayajijuuuu
  3. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

    Kwani yeye ndiyo anayepiga kura ? Au anajua atakachofanya kwenye sanduku la kura
  4. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

    Kama hakuna uhuru na haki hayo mengine yote na zaidi ya hayo unayoyaeleza ni upuuzi
  5. Kaisari

    Uchaguzi 2020 CHADEMA kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020

    Sijawahi kuona article ya kipumbavu Kama hii tangu nijiunge JF
  6. Kaisari

    Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?

    Propaganda za kipumbavu. Wenye akili wanaelewa nini kinafanyika.
  7. Kaisari

    Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

    Roho ya upinzani imemea Sana na hasa Roho ya kuchukiwa ccm imekomaa Sana. Na hii itawatesa Sana Sana. Sana. Hata Kama sio leo au kesho lakini mwisho wa sisiemu upo karibu Sana. Iwe iwavyo kwa kura au vinginevyo lakini naiona aibu kubwa mbeleni juu ya anguko l sisiemu. Kizazi kile cha zidumu...
  8. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Ni kweli tume itaamua imtangaze nani, Lakini Kama kura zetu zitaheshimiwa . Mtabaki midomo wazi.
  9. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

    Tuliochanga tulichangia watu binafsi , serekali walikuwa wakusanyaji tuu. Siyo wapange matumizi hiyo haikuwa Kodi.
  10. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Zaidi ya kuiba kura kukimbia na maboksi hamtashinda
  11. Kaisari

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Nakulipa mshahara na gari na nyumba alafu umtangaze mpinzani ?
  12. Kaisari

    Nilichokisikia kwenye Press ya leo pale Ufipa nimekata tamaa sana

    Watoto wa baba mnaropoka mtakavyo
Back
Top Bottom