Recent content by Kaingilila

  1. K

    Bakheresa, Mengi - mnatoa millions kwenye tv, wafanyakazi hoi, mnatufundisha nini?

    Mara nyingine wadau mtoe mifano ya ukweli na uwazi , hivi walimu wanaosaidiwa kuchangiwa kwenye vikundi saccoss kule vijijini ambao wengi wao wanapata mshaharara chini ya 150,000 unaweza kufananisha na mishahara ya pale IPP ?au ni watanzania wangapi wanaotafuta hizo kazi kwa bharesa na...
  2. K

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Nina mashaka na utafiti wako, katika utafiti wangu wa kupitia makala mbalimbali ukweli ni kwamba wanaume tulio wengi tunajiusisha na maisha hatarishi kama kunya pombe kupindukia, uvutaji wa sigara, kula chakula kingi kuliko mahitaji halisi ya mwili na majukumu mengi ya ziada zikiwemo nyumba...
  3. K

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Karamagi- Bukoba Dr Mzure- Morogoro mjini Sadick Murad- Mvomero Ponsiani Nyami- Nkansi Basil Mramba- Rombo Andrew Chenge- Bariadi Hao ni baadhi tu ya wabunge ambao tunawaomba mwakani , wapumzike sasa watafute shughuli zingine kabla hawajaazibiwa na wananchi.
  4. K

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Nothing last ever , mwandishi mmoja alisema yana "mwisho haya" na sasa dalili za mwisho wake ndio zinaanza kujitokeza. Viongozi wa hicho chama kilichobatiza na kuubariki umaskini wa watanzania walio wengi wakati wao wakila "maziwa na asali" wameshindwa kusoma harama za nyakati. Bado wanafikiria...
  5. K

    Chuo Kikuu kipya cha Afya kujengwa Dar

    Hivyo vyuo vinavyojengwa wahadhiri wanatoka wapi? Na mbona viongozi wetu wanapenda vyuo vingi vidogo vidogo ambavyo havina ufanisi? Kwa sababu ninachojua vyuo vingi hapa kwetu ukiacha upungufu wa vitendea kazi na majengo mabovu. Kuna upungufu mkubwa wa wahadhiri kiasi kwamba wahadhiri walewale...
Back
Top Bottom