Recent content by kaijanante

  1. K

    Naliona 'anguko' la StarTimes...

    nijuze juu ya huduma za contnental,Ninasikia mara picha zinaganda,mara custom care hawapokei simu,mara channel za vifurushi vya bei zaidi huwezi kupata.Nakimaind king'amuzi hicho kwa jinsi wanavyokitangaza japo nikiipigia namba inayotangazwa haipokelewi,mara nyingine haipatikani na haijibu sms.
  2. K

    Tanganyika imerudi

    Tanganyika inarudi,muungano unaboreka na umiliki wako ardhi kama kawa.
  3. K

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Tunahitaji ufalme wa Mungu uje kwetu.Huyo mama kwenda kwake kanisani tunatarajia kuuakisi utukufu wa Mungu kuanzia kwenye familia,mtaani,kanisani na popote ili jina la Mungu wake lisitukanwe bali litukuzwe. Msaidie mkeo,mwelimishe,muombee atapata macho ya rohoni kwani hayuko mbali na njia.Wapo...
  4. K

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Hakika nimekubali mchango wako.Hayo hukufunuliwa na akili zako bali Roho wa MUNGU aliyemo ndani mwako.
  5. K

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Mpango huo uliandaliwa mapema,sheria ilitungwa wabunge wote na wawakilishi wawe kwenye bunge idadi yao anaijua na msimamo wa ccm uko wazi ni serikali 2.Pia uteuzi wake miongoni mwa wajumbe 200 makada wa ccm kibao.
  6. K

    Hivi hili swala la zanzibar kuvunja katiba ya JMT sio tatizo kwa Jakaya?

    Sheria ya uundwaji wa katiba na uteuzi wa mkuu wa kaya ubainisha malengo yaliyofichika.Akasema "Utafiti wangu unaonesha ili serikali 2 ipite inahitaji wajumbe 16 kuwaunga mkono,ambapo serikali 3 kupita inahitaji wajumbe 80 nje ya kundi hilo " Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Tanzania.
  7. K

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Tunamwamini mungu atatoa njia pasipo njia kutunusuru dhidi ya wachumia tumbo.
Back
Top Bottom