Matapeli wa ardhi wanazidi kuongezeka na baadhi yao wamekua ni watendaji wa serikali au wanashirikiana na watendaji hao wa serikali.
Kuna jamaa anaitwa Salehe Salmini Msemo alikua ni afisa wa serikali wa moja za ofisi za manispaa hapa Dar es salaam, kwa sasa ameacha kazi. Jamaa huyu ni tapeli...
Mnyika ni mmoja wa wabunge ambao wamekua wakifanya mikutano na wananchi na kutoa mrejesho wa nini kinaendelea bungeni na kusikiliza kero za wananchi.Ni nani aliye kipofu na kiziwi kiasi hiki,hata hakuona na kusikia Mnyika alivyokua anamuhenyesha Pro Maghembe.
Hatuwezi kuona ubora na uzuri wa...
Mnawatisha wananchi kwa mbwa na mitutu ya bunduki kwa kudai haki zao za msingi. Hebu waacheni waandamane kama wanavyotaka kama mnajiamini mnaongoza kwa haki nchi hii.Mnaogopa nini.Polisi tumieni tu weledi wenu kuhakikisha waandamaji hawadhuru watu au Mali zao.Halafu tuone km kuna hata unywele wa...
Baada tu ya kugundua wameshachafua jiji la Arusha amekimbilia Dodoma na kuongea upupuuu usiokua na kichwa wala miguu.Nchi ikiendelea kuongozwa na watu kama hawa ambao hawatu utu wala hisia na maumivu ya wengine Tanzania haitakaa iwe na utulivu tena. Inaumiza sana na watanzania wanaonyesha...
Siasa ni mchezo mchafu japo maisha yetu yapo ndani ya siasa kila siku.Nafkiri ni kweli serikali yetu imekua dhaifu katika kushughulikia mambo kwa wakati,inasubiri jambo litokee ndio ijishughulishe na matukio,ni wakati wa kuamka ianze kuzui matukio instead ya kuyasubiria.
Poleni sana watu wa Arusha!!! Inasemakena IGP yuko njiani Kuelekea Arusha!!!Mungu wasaidie hawa viongozi wapate kufunguka macho na kuinusuru Tz iliyopo ktk hali ya sintofahamu
Kileo anza harakati za kujenga matawi kila kata,watu wa Kisangara juu,changalavo ,Kirongaya,kisangara chini na sehemu za Lembeni wamechoka na huyu jamaa Maghembe,tuko pamoja na harakati zinaendelea
Wakati akichangia hoja ya sheria na katiba bungeni huku baadhi ya wabunge wakinongona,mwanasheria mkuu amemumshambulia kwa maneno makali mbunge wa Kawe Halima Mdee,amwambia hajui amweke ktk kundi la lady or gentle man.Maneno haya angeambiwa upande wao ingezua balaa na miongozo ingekua mingi...
Chadema bado safario ni ndefu,mnaweza mkafikiri wananchi wamehamasika bt hua hakuna watu wepesi wanadanganyika na kusahau matatizo yao kwa sekunde chache kama watz!!!mliobahatika kwenda shule na kufunguka akili hamasisha ndugu zako na jirani zako kila wakati,badilisha mtazamo wa baba yako na...
Speaker amesahau majukumu yake na wajibu wake na ameshindwa kabisa kuendesha vikao vya bunge kama speaker,mwenyekiti wake Jenister Mhagama ana afadhali,kuna wakati speaker anajibu hoja za serikali wakati sio jukumu lake hata kama ana uelewa wa hoja husika.Sijawahi kuona speaker kama huyu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.