Recent content by kahogo

  1. kahogo

    Nani alipendeza zaidi?

    Kwani ninyi hamuigi tamaduni za kigeni kwenye harusi zenu? Mbona mna chuki msizojitahidi kuzificha!!!
  2. kahogo

    Wajuzi na watumiaji wa mashine za kutotolesha vifaranga (incubators) tubadilishane ujuzi

    Habari zenu wajasiriamali na wahangaikaji wenzangu nakuiteni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika utumiaji wa mashine za utotoleshaji vifaranga kwa matokeo mazuri nini na kipi mtumiaji wa incubator anaweza kukifanya na kipi anatakiwa kua makini kutokifanya ili kupata asilimia za kiwango cha...
  3. kahogo

    USHAURI: Nina uhitaji wa kutumia nishati mbadala

    Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn ghara ya mafuta inanishinda. Nimeamua kununua Battery na Inveta ambazo nitazitumia kuchaji kwa...
  4. kahogo

    MSAADA UNAHITAJIKA:

  5. kahogo

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari ya mda huu wana jf. Anaejua bei ya HUAWEI vns-L21 anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kahogo

    Mambo ambayo hutakiwi kufanya ukiwa unaendesha gari la Manual

    Gea ndogo ni namba 4, 5 na 6. Na gea kubwa ni 1, 2 na 3
  7. kahogo

    Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Usahihi wa Sura ya 3 Aya ya 54 kama ifuatavyo. Tena ningependa nianzie kwenye Aya ya 52 hadi ya 54 kwani pana faida zaidi ya kukuonyesha kua makusudio sio kua Mtume Muhammad ndie wa kwanza wa Waislamu kwa makusudio yako. ( فَلَمَّا أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنْهُمُ الْكُفْرَ قَالَ مَنْ أَنصَارِي...
  8. kahogo

    Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Kabla sijendelea ningependa kutoa angalizo ya kua katika kujadili mambo haya isitutangulie chuki na gadhabu. Na kulazimisha maana ya aya utakavyo wewe. Kwani chuki haitokunufaisha bali itakuangamiza. Pili ningekuomba tutulie katika poit moja kisha tukie point nyengine baada ya kuisha ya...
  9. kahogo

    Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Na hapo hapajapotoshwa Muislam, ila wewe ndie ambae hujaelewa ni nini makusudio ya Aya hio ulioinukuu. Kwahiyo maana ya aya Mimi ni wa kwanza waliojisalimisha kwa Mwenyezi Mungu. Maana yake ni wakwanza katika Umati wake kwenye zama zake. Na haimaanishi yeye ni wakwanza katika viumbe wote. Wakwa...
  10. kahogo

    Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Ndugu GuDume unajitahidi kubabadua lkn hayo maadhiko hujayaelewa. Uislamu una utaratibu wa kuleta Mtume ktk kila zama ili kuja kuwaonya Jamaa zao baada ya karne kadhaa kupita na mafunzo ya uislamu kusahaulika na watu wa jamii husika kutumbukia katika dimbwi la uasi na uovu baada ya vizazi vya...
Back
Top Bottom