Recent content by Kahahe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Hapana, kuna muda maalum. Mfano kipindi hiki kuna dirisha la maombi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Open university of Tanzania

    Kama unataka kuomba, dirisha lipo wazi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwann watu wanaidharau degree ya Open University?

    Ni kweli kuna tofauti kubwa ya anaesoma Mathematics kwa Distance Learning na kwa Face to face. Yaani Mtu anasoma Concept bila kufundishwa mpaka anaelewa, bila shaka ni ukomavu wa akili.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Degree with Honours

    Je hiyo sup wanaangalia core course au hata elective?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Honours degree

    Je hiyo sup wanaangalia core course au hata elective?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya honours degree?

    Je hiyo sup wanaangalia core course au hata elective?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree with Honours

    Je hiyo sup wanaangalia core course au hata elective?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Honourable degree

    Je hiyo sup wanaangalia core course au hata elective?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Introduction of Topology

    Inategemeana na Chuo ulichosoma. Kuna vyuo vingine hii inakuwa tofauti na Abstract Aljebra. Japo kuna baadhi ya Concept zitaingiliana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Introduction of Topology

    Mbona hapo kuna herufi tu, hakuna namba hata moja
  11. K

    JamiiForums Tanzania Introduction of Topology

    Given a set X = {a,b,c}, then find all non-trivial topologies on X.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    MAONI YANGU: Uwiano wa walimu na wanafunzi kwa hayo masomo; Unakuta Shule moja ina walimu wa Hesabu wawili wakati hapo wa History kumi. Motivation: Hili nalo ni Jambo la Muhimu, walimu wa haya masomo wakipewa motivation itasaidia na wenyewe kuwapa motivation wanafunzi. Single Subject: Walimu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Samahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp. Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?. Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uelewa kuhusu Open University of Tanzania (OUT)

    Samahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp. Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?. Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

    Samahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp. Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?. Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
Back
Top Bottom