geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,312
- 1,786
Hongera ndugu daah ulikua una drop noma sana ungeongezewa miaka miwili mbele tungekuokotaMe nitatoa ushuhuda wangu hapa. Nina BA in Economics(hons) kutoka udsm but sijui ilikuaje nikawekewa hons. GPA yangu ni 3.0.
Mtiririko wa GPA kuanzia first year ni kama ifuatavyo
First year 3.3
Second yr 3.0
Third year 2.7
Nikiwa mwaka wa pili semester ya pili nilisupp somo moja.
So mpaka Leo sijui kwa nin niliwekewa hons kwenye cheti na wala sioni ka imenisaidia chochote.

