Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

Iliboru nao wanafungasha mabegi😂😂
Hivi mkuu Ilboru unaiweka kwenye Chamwino Secondary a.k.a Lowasa secondary schools.
Ilboru, Mzumbe, kibaha,tabora boys &girls angalia alama za watoto wanaochaguliwa kidato cha kwanza pale halafu angalia alama za watoto wa Chamwino Sec
 
Utungaji wa mitihan umebadilika,..haswa kwenye upande wa physics,.kuanzia mwaka 2019 format imebadilika na mfumo wa maswali unampima mwanafunzi ameelewa Nini na sio alikariri Nini,.
Conceptual questions,..na competence based questions..ndo zinazowatoa watoto kwenye reli..wao bado wanawaza kuhusu Define,.mention,List, na briefly explain..
Ushauri walimu wa masomo ya physics badilishen staili ya ufundishaji..kuanzia kidato Cha Kwanza,..kwny kila topic mjaribu kuwapa watoto conceptual questions,..ambazo zinahusiana na maisha halisi..
Kwa mfano mtoto anaulizwa,..je Ni process gan hutokea pale unapoweka TEa bag kweny maji ya Moto...kwa ambae haelewi conceptual questions hili swali hawezi akajibu chochote...(diffusion).. answer.
Kasheshe inakuja palepale mwalimu anaposhindwa kutengeneza swali la "conceptual format"!

Kwanza unaweza kumkuta anawafundisha wanafunzi, mfano topic za mambo ya heat ama presha...anawaeleza 10MPa kama vile ni pressure iliyondani ya kitenesi cha kuchezea...! Au anawaeleza 400 degree 'Celsius' kama vile ni joto tu la mtu mwenye homa!!! Hakuna jitihada za mwalimu kuchochea uhalisia wa presha na nishati joto katika fikra za wanafunzi kwa kuzingatia matumizi na usalama wa mambo haya! Yeye anakokotoa tu maswali...yani ni kusolve kusolve mpaka anachafuka kwa chaki ama whiteboard pens!!

Na hili nadhani ni katika hatua zote za ngazi ya elimu nchini.
 
Huo ndo ukweli ndg yangu,.walimu wa fizikia inabid wabadilike..aisee
Kasheshe inakuja palepale mwalimu anaposhindwa kutengeneza swali la "conceptual format"!

Kwanza unaweza kumkuta anawafundisha wanafunzi, mfano topic za mambo ya heat ama presha...anawaeleza 10MPa kama pressure iliyondani ya kitenesi cha kuchezea...! Au anawaeleza 400 degree 'Celsius' kama joto tu la mtu mwenye homa!!! Hakuna jitihada za mwalimu kuchochea uhalisia wa presha na nishati joto katika fikra za wanafunzi kwa kuzingatia matumizi na usalama wa mambo haya! Yeye anakokotoa tu maswali...yani ni kusolve kusolve mpaka anachafuka kwa chaki ama whiteboard pens!!

Na hili nadhani ni katika hatua zote za ngazi ya elimu nchini.
 
Wengi wafanya biashara vijana hutumia calculator hata kwa hesabu zilizo rahisi kabisa!
 
Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla matokeo yake si mazuriql kivile .wanafunzi wengi wamefanya vibaya tena sana ushauri wangu serikali iwekeze nguvu kubwa katika masomo haya.
Kwa kuajili. Waalimu wengi wa physics na hisabati na ikiwwzekana katika ajira 5000 zilizobaki serikali ingeajiri angalau waaalimu 4500 wa hesabu na physics na angalau hizo 500 zilizobaki angalau wangexhukuliwa waalimu wa masomo mengine ni ushauri tuu iki kuleta
 
Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla matokeo yake si mazuriql kivile .wanafunzi wengi wamefanya vibaya tena sana ushauri wangu serikali iwekeze nguvu kubwa katika masomo haya.
Kwa kuajili. Waalimu wengi wa physics na hisabati na ikiwwzekana katika ajira 5000 zilizobaki serikali ingeajiri angalau waaalimu 4500 wa hesabu na physics na angalau hizo 500 zilizobaki angalau wangexhukuliwa waalimu wa masomo mengine ni ushauri tuu iki kuleta uwiano katika ufaulu
Naunga mkono hoja yako
 
Ugumu wa somo la hesabati kwa Tanzania linasababishwa na walimu wenyewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini shule za private zimeonyesha kufaulu kwenye fizikia na hesabu? Labda tuanzie hapo
hata hao St Francis ufaulu wao kwenye physics si nzuri Sana NI mwendo wa CCC, me nadhani ili somo kweli ni gumu
 
Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli.

Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili.

Fizikia na hisabati kwa ujumla matokeo yake si mazuriql kivile.

Wanafunzi wengi wamefanya vibaya tena sana ushauri wangu serikali iwekeze nguvu kubwa katika masomo haya.

Kwa kuajili Walimu wengi wa physics na hisabati na ikiwwzekana katika ajira 5000 zilizobaki serikali ingeajiri angalau waaalimu 4500 wa hesabu na physics na angalau hizo 500 zilizobaki angalau wangeshukuliwa waalimu wa masomo mengine ni ushauri tuu iki kuleta uwiano katika ufaulu
Wanafunzi wasome kwa bidii Physics na hesabu...Kupata C ya physics lazima usolve maswali mengi na Kufanya practical vizur...Wengi mnahisi kufaulu ni kupata A mnasahau credit inaanzia C...hesabu waipende ni kusolve kila siku hesabu ukiijua haisumbui somo sumbufu sekondary ni physics tu
 
MAONI YANGU:
Uwiano wa walimu na wanafunzi kwa hayo masomo; Unakuta Shule moja ina walimu wa Hesabu wawili wakati hapo wa History kumi.

Motivation: Hili nalo ni Jambo la Muhimu, walimu wa haya masomo wakipewa motivation itasaidia na wenyewe kuwapa motivation wanafunzi.

Single Subject: Walimu wa Maths na Physics wanatakiwa wapewe somo moja tu la kufundisha shule, hii itasaidia kupata mbinu tofauti za ufundishaji na ufatiliaji.
 
Nauliza lini serikali itatambua kwamba waalim wengi sio woote wa shule za misingi hawawezi fundisha HISABATI na baadhi ya mada za masomo ya sayansi.
Ikishaliona hilo ibadili vigezo vya udahili wa waalim wa GRADE 3A ambao wengi wao baada ya kuhitimu huende kufundisha primary schools huku masomo hayo ya sayansi na hisabati waliangukia pua form 4. Wengi wao sio woote
Na huu ndo ukweli,walimu wanachagua topics chache wanazoziweza halafu wanang'ang'ana na hizohizo halafu siku ya mtihani mwanafunzi anakutana na maswali matatu tu ya hizo topics halafu kati ya hayo maswali matano mawili ni magumu...mwisho wa siku huyo mwanafunzi anaishia kupata F.
 
Back
Top Bottom