Recent content by Kaguo Willy

  1. Kaguo Willy

    Huyu ndiye mwanamke anayeumiza watu hovyo

    Hakika mwenye masikio na asikie
  2. Kaguo Willy

    Ex wangu anataka kuja kwangu

    Mpende mkeo ambae ameamua kuishi nawe na kuyakubal madhaifu yote uliyonayo
  3. Kaguo Willy

    Hakuna kiti kinauma ka Kumpoteza Rafiki kipenzi Kisa matokeo

    Mkuu inabid ukubali kuwa hayo ndo maisha coz usipobadili marafik wa enzi za utoton had ukubwan BADO HUJAKUA
  4. Kaguo Willy

    Hayo maisha umeyachagua mwenyewe acha kuchukia watu

    Mtoa uzi huu umeanza vzur ila mwisho umeharibu ila ukitaka kupata ufahamu kuhusu jambo hili kamuulize Huddah wa Kenya ame_share her papuchi na billionaires na yy kabak kama alivyo so be care for your argument
  5. Kaguo Willy

    Naombeni ushauri wakuu maana kumtamkia tuachane siwezi ila anazidi kunipa sononeko sana

    Be a man and walk within coz atakusumbua huyo so achana nae
  6. Kaguo Willy

    Wakuu Naomben Ushauri Nipo Dilema Ushauri wenu utaniokoa sana

    Mkuu pole sana kwa yote ila always a real man never run his own threats pia huu ni wakat wa kuonesha upendo kwake zaid sio kufikiria kumkimbia so msaidie kulingana na uwezo wako ulionao coz mwisho wa wema ni ushindi uliotukuka
  7. Kaguo Willy

    Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

    'Hii nchi ni tajiri hvyo tunaweza kujitegemea wenyewe'.Jiwe mwaka 2016 Mbona leo tena deni linazid kuongezeka kila kukicha na mikopo nayo tunakopa ??
  8. Kaguo Willy

    Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

    Sio yote unaweza kumwambia partner wako kwani mtu akifanya hvyo kuna positive & negative impacts na always negative impacts hupelekea mahusiano kuvunjika
  9. Kaguo Willy

    Kama ungekuwa wewe mdau ungefanyaje

    Nmemshauri jamaa atulie kwanza then amhoji demu kuwa amejuaje bukta haijafuliwa wiki nzma ili kupata ukweli
  10. Kaguo Willy

    Kama ungekuwa wewe mdau ungefanyaje

    Habari za muda huu wanaJF. Niende kwenye mada kuna jamaa yangu wa karibu ameulizwa na demu wake kuwa huwa anavaa bukta yake mara ngapi hadi kuifua ? Baada y jamaa kuulizwa swali akajibu inategemea ila mara nyingi kuanzia mara 4 or 5 baada ya hapo nafua. Baada ya majibu hayo demu akamwambia...
  11. Kaguo Willy

    Kwanini Ni rahisi wanaume wa rika tofauti kukaa pamoja na sio wanawake?

    Wanawake huamini kuwa adui wake ni mwanamke mwenzie ndo maana wapo hivyo
  12. Kaguo Willy

    Huyu ni Mwanamke Hatari sana kuishi naye nyumba moja kama mke

    Good thread mkuu coz hutaki wanaume mabachela tuangamie hivyo congratulation &keep ur pace kwa somo murua kabisa
  13. Kaguo Willy

    Wanawake mnapoaminiwa na kupewa password ya simu acheni kutukana watu msiowajua

    Oh kumbe umeyataka mwenyewe so hayo ndo matokeo yake mkuu
Back
Top Bottom