Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Ukweli mnapoanza mapenzi utajuweka huru

Keepers atakuwa na hamu uijue familia yake, atakueleza makuzi yao vitu kama vile. Baada ya mwezi mtu anaongelea football to mmh pie your eyes 👀 dear.

Keepers are something else.

Even your heart tells you to open up it's ready.
 
Kwa Ulimwengu huu tulionao.

Ndani ya kumi unaweza kupata mmoja, na unaweza pia usipate hata huyo mmoja
 
Labda ulaya yawezekana hii lakini sio Tanzania...90% utaachwa solemba..
 
Big thank you, I have a friend who has mental health disorders. She was honest with it to the then boyfriend. He went on and they got married. When her moods changes he just leave the house for a while. Bu he worships the grounds she is walking on.
Thats true freandship, and if i may ask , why not seek treatment for the disorder, today medical field has so much advanced to the extent that a mental illness can be cured very very easily, advice them to find a good hospital and it will be cured, all the best to them
 
She is on treatment but sometimes she gets mood swings.
 
Katika maisha kuna changamoto nyingi tunapitia. Bahati nzuri ni kuwa kuna maendeleo ya sayansi na tekinelojia inasaidia maisha yaendelee. Wengine walipata mimba za utotoni lakini kwa msaada wa familia na jamii waliweza kuendelea na shule na sasa hivi wana ujuzi unawawaezesha kujitegemea, wengine wana magonjwa sugu lakini yako controlled na madawa na wanaweza kuendelea na maisha. Wengine wali pata majanga ya picha zao za ngono kusambaa kwenye mitandao ya kijamii au mpenzi wa zamani alizihifadhi.

Pale unapokutana na mpenzi mpya, mpaka atake namba yako ya simu au kuomba akutoe kwa chakula ni lazima kuna aliyovutiwa na wewe. Pale pale mwanzo wa kujuana, ukimuona muelekeo wake na umeanza kumuamini, mueleze yale ya muhimu ambayo hayafichiki katika maisha yako kama hayo niliyoyataja hapo juu.

Unavyo yaacha itakuuia vigumu kuyaeleza huko mbele. Fikiria mtu anajipanga akatoe mahari kwenu ndiyo anajua kuwa unawatoto wawili, una HIV au cancer, anaonyeshwa picha zako za ngono za miaka 5-10 iliyopita. Huyu mtu hatakuamini tena. Ni wachache wanaoweza kukuelewa.

Hakuna aliyekamilika lakini mapenzi yanahitaji watu wawili wanaoweza ku compromise hitilafu zao na kuishi pamoja kwa amani.
Kweli kabisa... baadhi wanakuwa waongo sana.

Kuna binti alinipiga fix na solex ya kichina nikawa na mashaka Kwamba ile sio original.

Baadae nikajenga ukaribu sana na ndugu zake nikagundua kwamba keshazaa mtoto moja na jamaa aliingia mitini maana she was too complicated.

Wadada muwe wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubaya ni kwamba there is no guarantee kama atabaki baada ya huo ukwel, ama kweli he/she will hold till marriage.

I once knew that's the woman of my life, thought nothing can happen and separate us kwa level tuliyofikia. Leo hatuko pamoja.

Sasa kanieleza yake mengi (sijui kama alimalizaga), nami nimeeleza yangu, ila najiona mwenye furaha nibakishaga moja kuubwa. yaan angekuwa anajua na hiyo ningehama huu mji.

Nina uhakika hakuna mtu kati yetu atasimama against mwenzake.

Me naona ni bora tu asijue labda kama hilo jambo lako ni la ajabu sana.

Karucee keeper or chapaIlale anajulikana after 3 or more times of conjugal rights
Keepers atakuwa na hamu uijue familia yake, atakueleza makuzi yao vitu kama vile. Baada ya mwezi mtu anaongelea football to mmh pie your eyes dear.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Leo hii Kutana na mtu akuambie ana magonjwa ya kurithi kama epilepsy (kifafa), niambie kama utaweka kambi hapo...

Mambo mengine hayafai masikioni, japo ni ukweli.
 
Umekwenda shule, Fanta research kuhusu tiba zake, kama yuko kwenye tiba imbalances kukutana na daktari wake umuulize hali yake inawezekana W akiwa mja mzito na mengine jinai ya kumsaidia. Tunaishi kwenye 21 century
 
ubaya ni kwamba there is no guarantee kama atabaki baada ya huo ukwel, ama kweli he/she will hold till marriage.

I once knew that's the woman of my life, thought nothing can happen and separate us kwa level tuliyofikia. Leo hatuko pamoja.

Sasa kanieleza yake mengi (sijui kama alimalizaga), nami nimeeleza yangu, ila najiona mwenye furaha nibakishaga moja kuubwa. yaan angekuwa anajua na hiyo ningehama huu mji.

Nina uhakika hakuna mtu kati yetu atasimama against mwenzake.

Me naona ni bora tu asijue labda kama hilo jambo lako ni la ajabu sana.

Karucee keeper or chapaIlale anajulikana after 3 or more times of conjugal rights

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Husemi yoote ooh nilipokuwa form two nilikiwa mtungo tena nili enjoy 😂 Sema yale ambayo yataathiri uhusiano wenu yakijulikana baadae kama watoto, magonjwa sugu nk
 
Katika maisha kuna changamoto nyingi tunapitia. Bahati nzuri ni kuwa kuna maendeleo ya sayansi na tekinelojia inasaidia maisha yaendelee. Wengine walipata mimba za utotoni lakini kwa msaada wa familia na jamii waliweza kuendelea na shule na sasa hivi wana ujuzi unawawaezesha kujitegemea, wengine wana magonjwa sugu lakini yako controlled na madawa na wanaweza kuendelea na maisha. Wengine wali pata majanga ya picha zao za ngono kusambaa kwenye mitandao ya kijamii au mpenzi wa zamani alizihifadhi.

Pale unapokutana na mpenzi mpya, mpaka atake namba yako ya simu au kuomba akutoe kwa chakula ni lazima kuna aliyovutiwa na wewe. Pale pale mwanzo wa kujuana, ukimuona muelekeo wake na umeanza kumuamini, mueleze yale ya muhimu ambayo hayafichiki katika maisha yako kama hayo niliyoyataja hapo juu.

Unavyo yaacha itakuuia vigumu kuyaeleza huko mbele. Fikiria mtu anajipanga akatoe mahari kwenu ndiyo anajua kuwa unawatoto wawili, una HIV au cancer, anaonyeshwa picha zako za ngono za miaka 5-10 iliyopita. Huyu mtu hatakuamini tena. Ni wachache wanaoweza kukuelewa.

Hakuna aliyekamilika lakini mapenzi yanahitaji watu wawili wanaoweza ku compromise hitilafu zao na kuishi pamoja kwa amani.
Ujumbe mzuri.

Asante Sky Eclat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam nimesoma tu kichwa cha uzi nikasema lazima ni mwanamke kaandika na ikawa kweli, mwanaume usije kujidanganya kuwa mkweli sana mwanzon utamkosa huyo bidada yan ke mnapenda kusema eti mwanaume awe mkweli awe mkweli ili akukose sasa!
 
Katika maisha kuna changamoto nyingi tunapitia. Bahati nzuri ni kuwa kuna maendeleo ya sayansi na tekinelojia inasaidia maisha yaendelee. Wengine walipata mimba za utotoni lakini kwa msaada wa familia na jamii waliweza kuendelea na shule na sasa hivi wana ujuzi unawawaezesha kujitegemea, wengine wana magonjwa sugu lakini yako controlled na madawa na wanaweza kuendelea na maisha. Wengine wali pata majanga ya picha zao za ngono kusambaa kwenye mitandao ya kijamii au mpenzi wa zamani alizihifadhi.

Pale unapokutana na mpenzi mpya, mpaka atake namba yako ya simu au kuomba akutoe kwa chakula ni lazima kuna aliyovutiwa na wewe. Pale pale mwanzo wa kujuana, ukimuona muelekeo wake na umeanza kumuamini, mueleze yale ya muhimu ambayo hayafichiki katika maisha yako kama hayo niliyoyataja hapo juu.

Unavyo yaacha itakuuia vigumu kuyaeleza huko mbele. Fikiria mtu anajipanga akatoe mahari kwenu ndiyo anajua kuwa unawatoto wawili, una HIV au cancer, anaonyeshwa picha zako za ngono za miaka 5-10 iliyopita. Huyu mtu hatakuamini tena. Ni wachache wanaoweza kukuelewa.

Hakuna aliyekamilika lakini mapenzi yanahitaji watu wawili wanaoweza ku compromise hitilafu zao na kuishi pamoja kwa amani.
Dah, Ngoja kwanza nikupe like. Ukishaona uko interested nae mwambie ukweli. Usisubiri siku anaenda kutoa mahali kwenu. Inakatisha tamaa sana na inavunja moyo kabisa. Wengine inakuwa ndo source ya kupata magonjwa ya kudumu, wengine kuwachukia na kutowaamin wanawake. Hey ladies, please change. Mnatuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio yote unaweza kumwambia partner wako kwani mtu akifanya hvyo kuna positive & negative impacts na always negative impacts hupelekea mahusiano kuvunjika
 
Umekwenda shule, Fanta research kuhusu tiba zake, kama yuko kwenye tiba imbalances kukutana na daktari wake umuulize hali yake inawezekana W akiwa mja mzito na mengine jinai ya kumsaidia. Tunaishi kwenye 21 century
Sijaelewa kitu sista!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom