Wakuu Naomben Ushauri Nipo Dilema Ushauri wenu utaniokoa sana

Mkuu pole sana kwa yote ila always a real man never run his own threats pia huu ni wakat wa kuonesha upendo kwake zaid sio kufikiria kumkimbia so msaidie kulingana na uwezo wako ulionao coz mwisho wa wema ni ushindi uliotukuka
 
Tatizo ni mimba mm ndicho nachooana. Kama kwako sana uwezo MPE mimba wewe nenda shule ukitoka utamkuta.
 
Kama una akili za kusoma, soma masomo ya A-level, then fanya pepa, mambo yakiwa mazuri, tafuta kozi nzuri chuo usome.
Na hii ni kama elimu ni wito kwako.
Ukisoma Clinical medicine utaenda kustack vijijini huko, na nakuona kama una vision.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari waku Bila ya kupoteza Wakti naomb ni dumbukie kwenye mada

Mim Ni Kijana early 20's kwa sasa, 2016 Nilikutana na Mnyaturu mmoja tulipendana kwel kwel nilienjoy hasa hana shida yeyote sema tu nilimpanga kama mungu akijalia nilitaka aende shule akaongeze elimu mana sometym hata msg ilikuwa noma kuandika sema kwa vile ana mapenz sikuona shida nilivumilia,Nilikuwa na kaz yangu mungu akanisaidia nikapata eneo la kujishikiza mim na mama angu mzazi (my own money).... Basi nikamshirikisha na huyu bibie nikamwambia kama kazi zikienda sawa utaenda shule uku nafight nianze kujenga mana mama alikuwa na mshiko wake kwenye acc so mim nilitakiwa kudunduliza ili nieke yang pemben mana eneo lilikuwa sio la kitoto....

To cut the story shot 2018 mambo yangu yakabadilika (shauri ya ndugu) sana yani nilipata tragedy.Nimeita tragedy mana imepindua maisha yangu Upset down hata kile nilikipata nacho kikasepa sasa mbaya zaid niko disparate na mattz yangu kuliko mwenzangu na stil nampenda lakin kutokana na hali sina kaz wala chochote nachofanya na huyu bint ni mgonjwa na keshafanyiwa operation ya kizazi nataman sana kumuhudumia lakin nawaza naanzaje na hali yangu jinsi ilivyo,Siku moja nikaongea na huyu dada kama vip tuachana apate mtu best kuliko mim mana mim stil nina safari ndefu mno adi mambo yangu yakae mana alinidokezea daktari alimwambia anatakiwa azae kabla miaka mitatu haijaisha lasivyo wataka mirija ya upande wa pil mana keshakatwa mmoja tayari.Sasa nikamwambia ukizaa asaiv maisha yatakuwaje mana hali halisi ndo hii nikamwambia hii kitu haitawezakan mana uku ni kutesana akasema haina neno tutafight ananiamin sana sijui kwanin.Basi kuna kipind nikasitisha kabs kumuona nikasepa nikaenda njia ya vumbi uko (Watu wa chuga watakuwa wamenielewa ni Babati)mana mambo yalichamama ilinibidi kusepa nikapata peace of nijue naanzaje kujikwamua nianze upya sasa mwenzangu sikumwambia ukwel mana sikutaka apate wasiwasi kufika kule kelele zikawa nying nikaona ni bora tena ningukuwa Chuga tu mana hakuna afadhal shauri ya stress nikajiingiza kwenye ulevi wa pombe mambo yakawa moto kwel kwel home wakatapa taarifa na mnyaturu akapata nikaitwa lakin sikuja tuliongea tu kwenye simu wakaongea lakin mim ata basi nikaona nirud lakin nilirudi na akil zangu mpya sio za ulevi....

Nilitaka kumuacha huyu mwanamke kbs mana namtesa tu bure na sitaka ateseke kwa mattzo yangu she deserve better,Niliamua kuanza hustle upya ila njia sio rahisi nikachek na wadau kuna watu nilikuwa nao before na wamekubal kunisupport la mwisho kbs Natak nikasome mana nina chet ya four iko tu ndan natak niende Clinical Medicine (3yrs) sasa kumpack mtoto wa watu naona ntakuwa nabeba kitu nsikiweza kbs..

Shida mahal ilipo bint sijamwambia na nimepata taarifa kuwa ni mgonjwa nawaza ata kumwambia lakin naona ntamuuua na tulikaa kipind kirefu hatukuongea mana nilitaka anagalau anisahau tuwez kumove on wote kwa Amani

Sijui kama nakosea au Laaaah lakin nikipata mawaza mawil matatu itanifungua akili mana nina stress na nimefikia atua mby naweza enda kunywa ata mzingi mmoja wa Nyagi ili angalau nipate lepe la usingi lakin sipend kufanya hivyo na sion kama ni sifa lakin nafanyaje mtaani wananiona tu hakuna anajua ninachopitia na wala siwez kuwashirikisha mattz yangu mana masnitch ni weng kuliongelea ttz hapa naona inahitaji siku yake ni historia tena

Polen kwa Gazetiiii
nimejitahidi kuelewa nimeshindwa acha walio elewa, wakushauri
 
Pole sana mkuu, very touching but usife moyo try your best kama unampenda mwambie wazi maana unavyofanya anahisi unamtenga sababu ya ugonjwa wake. A real man never run from his problems, try your level best mkuu.. Utatoka tu but kama inawezekana us8muache huyo mtu utamtesa mno maana naona kabisa wewe ndo kimbilio lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri bora wa kiume..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una akili za kusoma, soma masomo ya A-level, then fanya pepa, mambo yakiwa mazuri, tafuta kozi nzuri chuo usome.
Na hii ni kama elimu ni wito kwako.
Ukisoma Clinical medicine utaenda kustack vijijini huko, na nakuona kama una vision.


Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu form six nilisoma ila nifeliii serious nilisoma PCM
 
1. pombe haitatatua tatizo itazidisha tatizo la mfuko wako IACHE
2. Ukiamua kuwa na msimamo utakamilisha mengi au UMUACHE au UWE NAYE
3. Sijui imani yako hilo tatizo lake linaweza likatatuliwa kwa njia ya kiroho (maombi)
4. matatizo ndio njia ya mafanikio ama uamue kuyatatua au ukubali kushindwa uendelee kubaki kama ulivyo.
 
Pole sana mkuu, very touching but usife moyo try your best kama unampenda mwambie wazi maana unavyofanya anahisi unamtenga sababu ya ugonjwa wake. A real man never run from his problems, try your level best mkuu.. Utatoka tu but kama inawezekana us8muache huyo mtu utamtesa mno maana naona kabisa wewe ndo kimbilio lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri japo cjasoma Uzi....

am better here
 
Usiogope maisha. Maisha yenyewe ndio haya haya. Leo jua kesho mvua. Kama unampenda fikiria yeye angekua wewe ungetaka nini. Kisha mfanyie hicho ambacho wewe kingekufurahisha. Kama humpendi muache usimtese
 
Back
Top Bottom