Recent content by Kagosi DJ

  1. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Je, tutarajie kuuona msimamo wa Tanzania kuhusu vita ya Urusi ma Ukraine?

    Unakubaliana na hali hiyo? Au ungekuwa wewe unatakiwa kutoa msimamo wako ungesimama upande gani?
  2. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Je, tutarajie kuuona msimamo wa Tanzania kuhusu vita ya Urusi ma Ukraine?

    Unaunga mkono nchi kutofungamana na upande wowote?
  3. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Je, tutarajie kuuona msimamo wa Tanzania kuhusu vita ya Urusi ma Ukraine?

    Baada ya kuwasili kwa Makamu wa Rais wa Marekani nchini Tanzania hapo jana, ajenda kadhaa zinatarajiwa kuletwa mezani. Tanzania imekuwa haifungani na upande wowote ‘non-alignment’ kuhusu Vita inayoendelea Ukraine. Hili limejidhihirisha kwenye mfululizo wa kura zilizopigwa UNGA tangu kuanza kwa...
  4. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Hii ni sawa lakini nadhani tuwashauri huku tukiwapongeza kwa jinsi wanavyo itangaza Korosho ya Tanzania. Wanakorosho nzuri sana za kiwango cha kimataifa.
  5. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Urusi kuifutia Afrika madeni ya zaidi ya Dola za Kimarekani bilioni 20, Afrika itegemee neema zaidi kutoka kwa mahasimu wa Urusi

    Akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa bunge uliopewa jina la "Russia-Africa in a Multipolar World", Raisi Putin alitangaza kuwa Urusi imefuta madeni ambayo nchi hiyo inayadai baadhi ya mataifa ya Afrika yanayofikia zaidi ya Dola bilioni 20. Vladmir Putin pia amesema kuwa kuimarika kwa...
  6. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Unamaanisha nini mkuu?
  7. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    [emoji106][emoji106]
  8. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Minajili na ilihali vinaendana sana[emoji23][emoji23]
  9. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Kuna namna unawekwa kapuni [emoji23]
  10. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    It look like you are making sense[emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Hiyo ni propaganda tu inamfanya Putin aonekane mbaya lakini kuhusu Kumkamata its Impossible
  13. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio...
  14. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Chungu na tamu za bajeti yetu 2021/22

    Dr wa uchumi hatakiwi kutiliwa mashaka hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania SoC01 Magonjwa ya Afya ya akili yanatibika, vunja ukimya

    Mgonjwa wa akili ninngumu kujitambua inatakiwa Elimu yakutosha itolewe vinginevyo waathiliwa Ni wengi Sana.
Back
Top Bottom