Recent content by kafumo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #16 & #17

    Hapana sija ambiwa habari ya tuzo, nimejiskia tu kuandika hayo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa watu zamani kwa mwanaume na mwanamke hata kiroho

    Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #16 & #17

    Vitabu vya dini ni mkusanyiko wa maandiko ya kale kuhusiana na eneo hilo maalumu na maisha ya viumbe wa awali halali wa eneo hilo. Maandiko hayo ya kale yalieleza wazi na hatua za moja kwa moja ili jambo flani kuwa bayana. Vitabu vya dini sasa vimeandika kwa usahihi mkubwa sana maadili ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #15

    Watu wote wa maisha ya wakati wote kabla ya maisha haya kabla yetu, walio weka kumbukumbu za maarifa hata ambao hawakuweka kumbukumbu na wengine wote wa kipindi iko.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #1-#15

    Ni kweli hoja yako. Lakini pia Kuelewa jambo huwa ni binafsi sana kwa maana hata kwenye maisha halisi unaweza kuona, kuthibitisha jambo lakini ukiwasilisha kwa watu wengi, kila mtu anachukulia kwa kadiri yake,,,, hivyo kuna muda kuona na kuthibitisha jambo kuna maana kwa mtu anaye hitaji...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #1-#15

    Vitabu vya dini ni maandiko yanayo fundisha elimu au maarifa ya kiroho, maandiko haya siyo ya kuzuka au kutungwa bali yana chanzo chake. Zamani za kale watu pamoja na mambo yote walifanikiwa kutunza mafundisho na maadili ya kiroho kwa namna nyingi kama vile simulizi na hata maandiko. Watu wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #15

    Karibu kwa swali pia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #15

    Sawa ngoja niweke Mkuu 🙏
  9. K

    JamiiForums Tanzania Asili na Sayansi

    ASILI NA SAYANSI Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi binafsi. Asili ni namna yenye sifa nyingi sana zisizo na mwanzo wala mwisho zenye muunganiko usio kufa...
  10. K

  11. K

  12. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #15

    Tamaduni nyingi zenye hazina za thamani za kale zaidi zina elimu zake zenyewe. Lakini tamaduni za eneo flani katika sayari kiumbe dunia zinaonekana za kushangaza sana kuliko maeneo mengine. Basi mtu unaweza kuelewa kwa urahisi mambo yote yaliyo endelea nayanayo endelea mashariki mwa bara la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #14

    Hata katika mtu sio kila mahali pana hatari au unyeti ndio hivyo hivyo kwa kiumbe sayari dunia. Kidole cha mkono kina kazi lakini kikikatwa na kutolewa mtu hawezi kupoteza uhai wake, hata katika sayari ya dunia kuna vitovu vingi vya nishati za kiroho lakini vinazidiana umuhimu katika kuwepo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #13

    Sayari ya dunia ni kiumbe chenye uhai, ni hai kutokana maisha yanaendelea. Kiumbe ni kitu chenye viungo, mfumo wa fahamu na kiumbe pia kina sehemu nyeti zake na hata sehemu ambazo kiumbe akiguswa anaweza kupoteza uhai wake. Zaidi katika viumbe ni mfumo wa fahamu ambao kitaalamu wanaita mfumo wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #12

    Watu wa kale walitumia wanyama mfano njiwa kufikisha ujumbe mahali pa mbali, na kwa mujibu wa o njiwa walifuata vitovu vya nguvu za kiroho kufika anapo elekea. Vitovu hivyo vya nguvu za kiroho ndio hivyo au hapo sahihi kwa matambiko. Hata sasa watu wengi wasio elewa habari ya nguvu za kiroho...
Back
Top Bottom