Recent content by kafogoma

  1. K

    JamiiForums Tanzania HIMO: Huu hapa ni mkutano wa No Reforms No Election wa Saa 3 asubuhi

    Akifanya chadema ni kosa ?wale wanaobebwa na malori kwenda kwenye mikutano ya ccm Huwa Wana kazi gani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuta umeme kwenye nguzo za transfoma

    Afanye wiring kwanza
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuta umeme kwenye nguzo za transfoma

    Funga kwanza umeme kwenye kajumba Kako Ka kuishi ukimaliza sasa omba umeme kupitia mfumo wa nikonekti
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sema ugonjwa wowote unaokusumbua wataalamu wa afya watakusaidia

    Tumbo kuunguruma hasa usiku na nikila chakula Cha mchana linakuwa kama linawaka moto (situmiii pili pili Wala vyakula vya viungo vingi Wala soda nimeacha )
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    Angalia mahitaji ya eneo ulipo wanahitaji hasa vifaa gan kuhusu mtaji ata kama ukiwa na 2m inatisha kuanzia ukiwa na hela nunua vtu Kwa katoni mfn switches,lamp holder,metal /surface box
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

    Kwahiyo na hao ma askari wangerudi kuchukua mapanga?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa vodacom una shida au

    Na Leo tena dah Hawa Voda washakuwa tatizo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya vijana hubadilisha hali ya uduni na kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini, ila vijana wa kisasa, wengi wao ni mizigo kwa Taifa na familia

    Ukishasema tu enzi hizo .......ujue imekuwa historia maisha yanabadilika sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Ahmed Ally amezidi sana kutudhalilisha sisi Yanga

    Ahmed Yuko sawa tu pale jangwani sahizi ni jina la kagoma tu ndo linasikika kwa sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Kama umesoma Kiswahili, komaa kutafuta fursa nje

    Sasa huko marekani kiswahili kinawasaidia nini?
Back
Top Bottom