Ni kweli ni umbali mfupi sana. Lakini hawakwenda moja kwa moja (direct route kama ndege). Kwa nini ilitokea hivyo, jibu liko kwenye hili andiko:
“Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni...
Ktk hili yawezekana Zito alikuwa na nia nzuri ila presentation ndio imekuwa mbaya. Hakutakiwa kuomba huruma ya mama ili kumtoa Mbowe. Alichotakiwa kusema ni kuweka bayana kwamba hii ni kesi iliyoghubikwa sababu za kisiasa na hivyo tunaitaka serikali yako imuachie Mbowe bila masharti yeyote maana...
Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya pili ni mgombea kwa tiketi ya CCM, Bw. Andrea Maseleka akirejesha fomu za uteuzi
Shida kubwa kwake ni kwa maamuzi yake yasiyozingatia katiba na hali halisi ya wanyonge - wananchi! Kama maamuzi yanapitishwa kisha anashangaa kwa nini yalipita bungeni unadhani kuna kiongozi hapo? Lakini pia mgeni rasmi ni yule ambaye ukimuweka kwenye mizani sehemu kubwa ya jamii inamkubali iwe...
Kwa kitendo cha kumualika Job, Simba wakubali hawakushauriwa vizuri. Hili litawagharimu kukosa mashabiki uwanjani lakini pia ikitokea wamefungwa wajiandae kuzodolewa!
Credibility ya Job imeshuka sana toka kwa Mwendazake mpaka sasa!
Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.
Mama anaupiga mwingi!
Sorry naona hii ilinipita hivi waliohukumiwa wengine wamepigwa miaka mingapi au adhabu ikoje maana bado nawaona wanakuja mahakamani na Mbowe au hii ni kesi nyingine tena?
Mbinu Peter iliyobaki kwa upinzani kuweza kushika na kuongoza nchi hii ni kupandikiza watu wao ndani ya CCM. Ni kwa njia hiyo tu wataweza kuivuruga CCM na mwisho wa siku itabaki kweupe. Ni njia ndefu lakini salama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.