Godbless Lema: CHADEMA imepata taarifa za Serikali kutaka kulazimisha kumfunga Mbowe kimkakati

CHADEMA ACHENI KUJITOA UFAHAMU, MBOWE ALISHAHUKUMIWA TANGU SIKU ILE YA MAHOJIANO NA BBC. WENYE AKILI WALIELEWA.

KAULI HII NI NZITO, "MBOWE ALITENDA MAKOSA TANGU SEPTEMBER MWAKA JANA, BAADA YA UCHAGUZI AKAKIMBILIA NAIROBI KUJIFICHA. WENZAKE WALISHAHUKUMIWA ALIBAKI YEYE TU".

Sorry naona hii ilinipita hivi waliohukumiwa wengine wamepigwa miaka mingapi au adhabu ikoje maana bado nawaona wanakuja mahakamani na Mbowe au hii ni kesi nyingine tena?
 
Sorry naona hii ilinipita hivi waliohukumiwa wengine wamepigwa miaka mingapi au adhabu ikoje maana bado nawaona wanakuja mahakamani na Mbowe au hii ni kesi nyingine tena?
Ndugu yangu mama alijichanganya. Au alipewa taarifa isiyo sahihi/paper fake.
 
Lema anazungumza hayo akiwa Canada...ni vyema akarudi kuendeleza harakati za ukombozi, mkoloni yuleyule tunayempiga vita leo hii tunatumia uwanja wake kudai ukombozi Africa..

Inawezekana jamhuri iko sawa au haiko sawa pia, ila la msingi ni kurekebisha aina za siasa tunazofanya...tujikite kwenye kuandaa watu na kujenga misingi imara kutokea chini...hili CCM walilifanya saana ndio chanzo cha kuwa na chuo kivukoni na leo kingine dodom walipeleka pia watu ulaya mashariki na China watu kujifunza aina ya siasa wanazofanya CCM.
Unataka arudi ili naye mumbambikizie kesi?
 
Unataka arudi ili naye mumbambikizie kesi?

hakuna harakati laini laini, unafikiri hata huko CCM watu wanaenda ikulu kirahisirahisi...Babu zetu akina Mkwawa, Kinjeketile nk nao walimwaga damu kumtoa mkoloni...harakati zozote duniani zinaambatana na kuumia, kufa, kuteseka nk....huwezi kupigania haki kama kweli unapigania haki ukaogopa kukamatwa, kufungwa, kufa, kuumia nk...mateso ni sehemu ya harakati......unafikiri CCM na mizizi yake itatoka kirahisi kupitia vijana laini laini njaa kali..
 
Nikikumbuka yale matusi ya mbowe naamini Mungu ni mkuu sana

Uzuri ni kuwa hata SSH anajua anachotenda ni udhwalimu. Abarikiwe sana huyu kidume:

IMG_20210908_150340_548.jpg
 
Hili Taifa limepita nyakati ngumu kuliko hizi. Jaribio lolote kupindisha haki kwasababu yakikundi fulani halitowaacha salama watawala. Nadhani wameona vile Mungu ameachia kimbunga cha ajabu pale ikulu.. sasa waache waendelee kujifanya wapagani Mungu atawafurahisha.
 
Anaongea akiwa kajifungia chumbani kwa wazungu?

Mwambieni aje awe anahudhuria pale kisutu,

Yani chadema ya sasa hivi ni kama mrenda tu.

Mwanzo nilifikiri wanamhofia jiwe kumbe ni udhaifu wao tu
Sasa wewe unataka wafanyaje waingie msituni harrafu mseme magaidi yale ?
 
Back
Top Bottom