Recent content by Kadox

  1. Kadox

    Uza simu yako hapa !!!!

    Ndugu zangu wadau wa jamii forums,habari zenu. Nina hitaji simu used kwa bei ndogo ya kawaida tu aina ya blackberry torch 9860. Nipo dar kwa mwenye nayo nitafute kwa namba 0683965429 ili tufanye biashara
  2. Kadox

    Nokia Asha 303 inauzwa

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ambayo ina lenga kumsaidia hata mtu mwenye kipato kidogo. Simu iko katika hari nzuri kwani imetumika miezi miwili tu na sababu hasa za kuuza simu hii nikutokana na kupata simu nyingine . Ninapatikana dar namba zangu ni...
  3. Kadox

    Wapenzi wa simu za obama kazi kwenu (blackberry curve 9300) 90000/=

    Kwani ina matatizo gani cimu iko poa kabisa na imetulia Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  4. Kadox

    Wapenzi wa simu za obama kazi kwenu (blackberry curve 9300) 90000/=

    Wale watumiaji wa simu za blackberry kwa mara nyingine tena nina waletea simu tajwa hapo juu ikiwa na bei ndogo kabisa na fursa ya kuishusha bei hiyo una patiwa . Kwa sifa zake samahani tembelea Gsm Arena. Wahi sasa wahitaji ni wengi offer yako piga namba ya maajabu 0715073189 upate simu . Sent...
  5. Kadox

    Memory card!!!!memory card!!!!8gb/16gb

    Niaje niaje wadau kama utapenda kuuza memory card yako musimu huu mnunuzi nipo lakini iwe na GB kuanzia nane nipo DSM 0683965429 Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  6. Kadox

    Uza simu yako hapa 100,000/=

    Weka namba nikutafute
  7. Kadox

    Nelson Mandela, South African Icon of Peaceful Resistance dies at 95

    Roho ya marehemu iwekwe na mwenyezi MUNGU mahala panapostahili amina
  8. Kadox

    Mwanamke asili ya israeli (IZIRAELI)

    Wakubwa habari zenu. Mimi ni mtanzania halisi ambaye huwa nina ndoto ya kuwa na mke kutoka israeli. Kama kuna mtu ambaye anafahamiana na binti wa kiisraeli tafadhali nitumie contact zake
  9. Kadox

    Nimeamua kurudi Chadema

    Mwambie huyu maana hajawahi hata kuwa katika chama cha YAU
  10. Kadox

    Uza simu yako hapa 100,000/=

    Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, nahitaji simu nzuri ambayo iko katika hari nzuri na pay yangu ni hiyo hapo kama utaridhika,usisite kuni pm.
  11. Kadox

    Papa Francis atoroka Vatican usiku

    Tuache kuhukumu mambo ya kunenwa tu jaribu kufanya uchunguzi.
  12. Kadox

    blackberry curve 2 for sale,90000Tsh.

    Kwanini muungwana lakini
  13. Kadox

    Ukiamka asubuhi yapi nimaneno mazuri ya kumwambia mkeo kabla hujaenda kazini?

    Unapo amka asubuhi unakuwa na mawazo ya kimajukumu na kabla hujaondoka kwenda kazini unatakiwa kumwambia mkeo maneno mazuri sana ambayo yatamfanya afurahi.
  14. Kadox

    Kindle Inauzwa

    Weka kwanza kapicha
Back
Top Bottom