Recent content by Kadagaa

  1. K

    Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO SEHEMU YA PILI ALLY KATALAMBULA. NAVUTA moto, chopa inapepea, ndani ya dakika sufuri tayari nimetokea upande wa pili wa Ile barabara ya vumbi. Nimefanikiwa kulikwepa geti la polisi...sasa nakatisha kwenye uwanja wa gulio la kila mwezi...
  2. K

    Nilivyokutana na Esta kijijini Mkola

    Jaribuni kwa kejeli
  3. K

    Nilivyokutana na Esta kijijini Mkola

    NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA. Hali ya hewa Ilikuwa inafika nyuzi joto 10C hadi 12C. Ni kipindi Cha baridi, tena baridi kweli, halafu unaambiwa angalau huku ndani ndani, huko Mbeya mjini ngoma inasoma hadi nyuzi 4C....Hili ni jokofu 🤭 Nyakati hizi za baridi kila mtu ungemuona na...
  4. K

    Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  5. K

    Wachambuzi wa magazeti Kitenge M na Hando Gerald waja kivingine

    jamaa wanakuwaga na mizaha na dhihaka flani hv hasa kwa madudu ya serikali, nawapenda sana hawa jamaa
  6. K

    Udikiteta Tanzania: Je, Rais Magufuli kweli ni dikiteta au wanamsingizia tu? Msikie Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta!

    mie sina chama, ila naona kama kuna viashiria vya udikteta aisee,
  7. K

    Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    hatari sana
Back
Top Bottom