Wachambuzi wa magazeti Kitenge M na Hando Gerald waja kivingine

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,899
150,177
Hawa jamaa kiukweli nilitokea kuwa mfatiliaji mzuri wa segment yao kuchambua magazeti pale efm lakini kwa kipindi wamekuwa hawasikiki tena na hiyo segment wanaitendea kazi wengine ,style yao hawa mimi nilizoea kuwaita mapacha nilikuwa naipenda make walikuwa na chemistry nzuri japo hatukujua kwa nini uongozi wa efm uliamua kuwabadilisha

Good news naona wameamua kuja kivingine kabisa baada ya kutoa tangazo kupitia kurasa zao za instagram ...View attachment Tunarudi kivingine kabisa....Chumvi chumviiiiii. Upo tayari____________ @geraldh ( 352 X 640 ).mp4
 
jamaa wanakuwaga na mizaha na dhihaka flani hv hasa kwa madudu ya serikali, nawapenda sana hawa jamaa
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom