Recent content by KACK

  1. K

    Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Very good observation. Mi niliziangalia zile video nikagundua something fishy. Ukiangalia video zote utagundua kuwa jamaa na mtu wake wanayenjunju wanajirekodi na wote wanaingalia camera. Ktk uhalisia hicho kitendo si cha kawaida, mke wa mtu au demu wa kitaa atakubali kutoa nyapu lakini si...
  2. K

    Ushauri kwa Tatizo la Mahusiano na Usaliti Kazini

    Pole. Tafuta mwingine uliye karibu naye
  3. K

    Je, ni idadi gani ya watu waliowezesha mapato ya shilingi trillioni 3.1 kwa mwezi Septemba?

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na taarifa za idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwamba ni milioni mbili tu. Hata hivyo ni jambo jema kwa...
  4. K

    Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

    Umeandika vizuri sana lakini hizo sheria kwenye political ground zitaishia kumgaragaza Mama yako. Endapo mwenendo ule wa Kikwete kuwa_treat Wapinzani ungeendelea kwa miaka mingine mitano huenda leo hii tungekuwa na serikali inayoongozwa na chama pinzani
  5. K

    Lebanon ni nchi ya Kikristo; inapigwa na Israel halafu walokole mnashangilia

    Vita ni kati ya Israeli na Hezbollah na si Lebanon. Hezbollah ni kikundi cha kigaidi kilichojivisha mwamvuli wa chama cha siasa.
  6. K

    Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Hata hawajaenda kuchekea chooni.. Du!!
  7. K

    Mwl. niko Ughaibuni kuongeza Elimu, niliyoyaona..

    Mi nilikuwa nasoma, nikitoka class tu naenda Viwandani kupiga kazi, siku za weekend naenda kufanya usafi kwenye kumbi za senema, ilinilipa sana hadi hii leo hapa Bongo nimeweza kuwekeza kwa mtaji niliotoka nao ugaibuni na Mungu ananijalia Maisha si mabaya.
  8. K

    Special Valentine package hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro) ni Tshs. 22,400,000/= per couple

    Kwa Tanzania atakayelipia hicho kiasi ajiandae kutoa maelezo ya chanzo cha mapato yake na kutoa taarifa ya kodi.
  9. K

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Ukijibizana na Mwehu huenda ukawa mwehu zaidi, Kwa maana nyingine kama Mange ni Malaya Basi huyo Sheikh ni Malaya zaidi yake
  10. K

    Kitwanga aikosoa Serikali ujenzi wa Reli

    Tutafaurishwa sana tu!
  11. K

    Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    Mange Kimambi Anawatoa Jasho CCM. Komaeni nyie ndio vinara wa kuanzisha matusi kwenye siasa.
  12. K

    PIC: Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) imejiendesha kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo

    2014/15 - 94.3 B 2015/16 - 109.3 B 2016/17 - 113.8 B KAMA JUMLA YA HASARA SHIRIKA LA NDEGE TZ KWA MIAKA MITATU YA FEDHA MFULULIZO NI TSH 317.4 B[emoji35](hivi hizi ni takwimu za kweli?) TAFUTA THAMANI YA HASARA KWA MIAKA MITANO?
  13. K

    Kuwalazimisha watumishi wa umma kuishi maisha yanayolingana na mishahara yao inatokana na nini? Na logic yake ni nini?

    Tangu lini Ukafurahia kumkuta house girl/boy anatanua kwa pesa halali aliyoipita Kwa kufanya vibarua Kwa jirani? Siku mfanyakazi wa ndani akikimbilia kwa Jirani na kukuacha ndio utaona faida yake japokuwa huenda huko nako hatofanikiwa zaidi. Maana yangu ni kuwa: Wafanyakazi wa Umma mnatakiwa...
Back
Top Bottom