Recent content by Kachu_28

  1. K

    JamiiForums Tanzania Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

    Penye uzia penyeza rupia..👍🏽
  2. K

    JamiiForums Tanzania Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

    Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae? Kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Pole sana bro!! ...ila kufuatia kinaendelea sasa iv kuwa vijana wengi hatukai kwenye ndoa. Sababu kubwa inaweza kuwa ni kushindwa kuwa "WANAUME"...usipaniki tulia!! Vijana tunakuwa soft sana kiasi ambacho mwanamke anakutawala ndani ya nyumba, na ukija kushtuka unatawaliwa na unataka kuchana(...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Umeandika sana tena vizuri tu. ila kwa uelewa wangu, kuna mambo kadhaa nataka nikujulishe.. 1. Dola 2. Uislamu na Ugaidi. Dola huwezi kushika dola bila ya kuwa na nguvu, na huwezi kuwa na nguvu mpaka upigane (vita moto au baridi) na ushinde. Hivi vita vya dola vilikuwepo zama na Zama, ambapo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

    Nafikiri Mungu muumba aliliona hili kabla ya kutuumba ila ukaweka utaratibu mzuri , Namna ya kudhibiti hivi viumbe katika njia ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ila kwa kuoa. Hii imethibitika katika dini na hata mila za babu zetu kabla ya kuifaham dini waliishi hivyo na walidumu. katika njia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Nakushauri uingie field kabisa, yaaani uingie mtaan kama hapo upanga upite kwa madalali au vijiweni useme unaulizia guest za bei flan ( 20k au 15k). kwasababu huko utakutana na wenyeji zaidi na utapata uhalisia. Au ingia google map andika lodge au guest house, then focus na eneo unalotaka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical Trainings( IPT) and Job opportunities

    Sawa mkuu, Thnks and big up..[emoji106]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical Trainings( IPT) and Job opportunities

    M nasoma Accounting and Transport Finance at NIT...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Trump Says He’ll Allow China’s Huawei to Buy From U.S. Suppliers

    Macho ya Trump dhidi Xi jiping ni kama vile "Nimekusamehe dogo usirudie tena kuleta jeuri"....USA won Ila hii ni Fursa Mpya kwa China kufnya tathmini Upya, Wapi watamshinda USA. ......"Trade war continue"....
  10. K

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical Trainings( IPT) and Job opportunities

    Post Updated...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical Trainings( IPT) and Job opportunities

    Mambo JFs, naomba kupata uzoefu juu ya hayo mambo mawili, yaan field work and employment. 1. Je? Kuna ukwel wowote kuwa upo uwezekano wa kuajiriwa wakati wa field work? 2. Je? Mwanafunzi anatakiwa awe na Mtazamo gani awapo mafunzoni mbali na kujua anakwenda kujifunza, ili kukidhi Uhitaji wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hata Botswana yaipiku Marekani kwa uhuru wa habari

    Labda kwa kuwa Wamekubali Ushoga....kwahiyo ni Hamasa kwa Mataifa mengine yanayopenda Sifa..
Back
Top Bottom