Mambo JFs, naomba kupata uzoefu juu ya hayo mambo mawili, yaan field work and employment.
1. Je? Kuna ukwel wowote kuwa upo uwezekano wa kuajiriwa wakati wa field work?
2. Je? Mwanafunzi anatakiwa awe na Mtazamo gani awapo mafunzoni mbali na kujua anakwenda kujifunza, ili kukidhi Uhitaji wa Taasisi na pengine kupata Credit wakati wa Mafunzo.
3. Ni sekta binafsi au serikalini, Ambao wewe Mchangiaji unatoa kipaumbele, na kwnini?
=> Kama lipo zaid linahusu Muhtasari, ila nikashindwa kuuliza kutokana na "down scope" Basi Mchangiaj Toa faida.