Recent content by Kachenjechenje

  1. K

    Msaada: Nimfanyeje huyu tapeli?

    Jamani hodi! Wanajamvi sote tunafahamu hali ya uchumi ilivyo. Nisaidieni mawazo nimetapeliwa, ilikuwa hivi: Kuna dogo tuliongea biashara ya dagaa, akaniambia dagaa wanalipa ila mtaji tu ndio hana. Basi mimi nikamtathmini nikamuona ni dogo fighter, nikaona nishirikiane nae kwa masharti nafuu...
  2. K

    Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

    usimzibe mdomo bhanaa mwache ajiachie, yale makelele ndio raha yake na ndio mrejesho wa 'mdundo' wako.
  3. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Haaaah haaaah, mi ni dada my dear bro!
  4. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Very well articulated dear..... life is all about happiness.... like ur stand sister!
  5. K

    Nimejaribu kumuacha lakini bado msumbufu

    Mhhhh, mnajua kuongea! Teeeeh teeeeh!
  6. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Asante mkuu Nzi Chuma kwa kukiri ya kwamba umepona, sasa ni usiku mwingi nakusihi upumzike ili mwili nao ukae fresh, uje unawiri mpaka watu washangae, au sio bro? Haya lala baaasiiiiiii, lala unono, na usipate ndoto yoyote ile, lala kama kitoto kichanga vile!
  7. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Hongereni wanajamvi, katika jambo hili la mkuu Nzi Chuma mmenifurahisha sana, yaan mmeacha utani na bra bra zenu za siku zote, mmekua serious, constructively counseling our dear bro Nzi Chuma. Nimewapenda sana kwasababu mmefanya jamvi limekua na maana kwake. Mungu awabariki sana, na Mungu...
  8. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Jamani wakati mwingine hata wanawake wanaingia gharama kwa wapenzi wao ya vitu mbalimbali vya thamani lakini mwisho wa siku wanabwagwa kama mzoga usio na mwenyewena wanabaki kudhalilika, na tena wanawake hubwagwa mara nyingi kuliko wanaume, kwahiyo tunapolitizama jambo hili la Nzi Chuma...
  9. K

    Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Listen bro; Weak people revenge, strong people forgive but intelligent people ignore. kwahyo please tupilia mbali mawazo juu yake, vuta kila kitu kinachohusiana nayeye hata hiyo namba yake mpya ifutilie mbali, na pia hata yeye muweke kwenye black list/m-block kwenye simu yako both calls na...
  10. K

    Nimeishi naye ndani ya ndoa miaka mitano, Jogoo langu halipandi mtungi, mke anataka kunitosa

    Ndoa inajengeka kwenye TENDO LA NDOA, bila hilo ndoa inaingia doa.
  11. K

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    Mbona huwaambii wanaume wawe na maufundi kwenye swala zima la kugegeda? bila kuwa na uhodari wa kugegeda ni bure tu hayo yote.
  12. K

    Nimemzidi umri kwa miaka 12

    Dadaaa kumbuka ile habari ya dada'etu wa kule mjengoni na ile ndoa yake iloota mbawa, inaweza ikatumika kama case study at least ya kutupa mwanga wa kuchambua nia na uelekeo wa huyo jamaa anaekuzengea. Ukiona imekaa poa basi all the best sisy!
  13. K

    Nimemzidi umri kwa miaka 12

    Je, itakuaje ikiwa kaanza kukugegeda halafu mimba isishike haraka ikapita hata miaka miwili hiyo mimba haijaingia wala kutoka, vp utaendelea kumpa tu mpaka itakaposhika mimba, au? kumbuka kwa mwanamke kadiri umri unavyokwenda (hasa from 35 and above) ndio uwezo wa kuzaa unavyopungua. Na kwangu...
  14. K

    Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

    Umeonnaa eeennnnhhh! zinakua zimeenda chini sana so dushe haifiki kule chini, so kunaendelea kuchemka tu, jamaa inabidi akazane kunywa supu ya pweza.
  15. K

    Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Swala la kusalitiwa kiukweli linauma sana, niliwahi kuwekeza moyo wangu kwa raia mmoja hivi, hakika nilijiweka mzima mzima sikuelewa hata nilivyomwagwa, huu ni mwaka wa nne sasa lakin bado maumivu hayajaisha kivile ni kwamba yamepungua tu, na sijawahi kuwekeza tena moyo na sioni sababu ninaishi...
Back
Top Bottom