Swali la kujiuliza hapo.
Je amekwenda na wataalam wa madin wanaojua sampling technic??
Kama atakua hajafanya ivo atapewa feki sample!
Pia tuna kitengo cha madini pale kunduchi beach (AMGC), kwann sample ipelekwe nje??
Kama nchi ingepata 1.8tr jiulize wao wanapata ngapi? Keanini was proces apa apa bongo tukajua wamepata madin kias gani, na ajira pia zitaongezeka, naona zito ashskua jinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.