Recent content by kabweza

  1. kabweza

    Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Sawa, Karibu na kama utapata changamoto yoyoye au ukiwa na maoni usisie kuwasiliana nasi info@obiashara.co.tz Whatsapp: +255673543991
  2. kabweza

    Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Ni kweli kabisa Excel inafanya vizuri lakini ina mapungufu kadhaa kulingana na mazingira 1. Ni ngumu kwa mmiliki wa biashara kupata taarifa mpaka awepo kwenye biashara yake au atumie njia zingine ambazo ni Technical sana(Sio kila mtu anaweza). Lakini mfumo huu kila kinachofanyika kwenye biashara...
  3. kabweza

    Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Tupo mbeya, huduma zetu tunatoa tanzania nzima!
  4. kabweza

    Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Wakuu wa jukwaa, Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati. Ukweli ni huu Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati...
  5. kabweza

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nibora ukatuwekea Link ndo itakuwa vzr Zaidi mkuu
  6. kabweza

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TICKET PRICE: 1.000 Tzs MECHANICS Kuna orodha ya michezo 12 pamoja na 4 hifadhi michezo kutoka mashindano tofauti ( EPL , la liga , Ligi ya Mabingwa, Kombe la Euro . Kombe la Dunia nk nk, ). Wateja wanaombwa kutabiri Matokeo ya michezo yote 12 , kuchagua 1x2 ( Nyumbani kushinda, sare ...
  7. kabweza

  8. kabweza

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Mimi mkubwa toka Niko mdogo ninaota ndoto asilimia kubwa utokea kweli ila sijui muda wala saa ya kutokea na inapotokea ua kunaharufu inanijia lakini hiyo harufu cjui ya kitu gani na matukio yatakayo tokea yote kwangu yanakua kama narudio tuu coz naweza kuwa na mtu na nikaanza kumwambia baada ya...
  9. kabweza

    Behind the curtain: September 11

    hivi mimi siku zote nilikua wapi kujua haya daaa JF inanifunza mengi asante mkubwa
  10. kabweza

    Tecno W3for 130

    100 ipo hap
Back
Top Bottom