Mkuu Zinjanthropus nakubaliana na Wewe kabisa kwa baadhi ya vipengele, ila Kama ungesoma vizuri item number mbili kwenye chapio langu, ungeelewa vizuri irregularities na kwenye kugawa maeneo ya uwekezaji hasa ya ndani ya eneo la BWM SEZ, nilichoinsist zaidi ni utoaji wa leseni na plots kwa...
ZINEDINE umetoa a very fair analysis kuhusu Zawadia may be in a better way than I wanted to, u have said it all, mimi sina kinyongo na Zawadia ila sikubaliani na tabia yake mbaya ya dharau, nyodo na kujiona yeye is everything, na nashukuru hata mtetezi wake ndugu SASATELE amekubaliana na hilo...
By ALINDAO
Mtoa mada, una uhakika? au una lako? Nimefanya kajiutafiti kadogo pale epza na kugundua kuwa maneno yako japo ni mengi, uongo pia ni mwingi! - mfano; EPZ Kisongo Arusha pekee ina wafanyakazi zaidi ya 8000????; Mazava Morogoro 1650; Touku Dsm 355; hapo tu tayari ni zaidi ya 10,000! Upo...
Ndugu wana JF.
Mifumo ya EPZ au kama inavyojulikana kwa majina mengine kama SEZ, Freeport, Industrial Zones au majina mengine kama hayo imekuwa ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya viwanda na uwekezaji kwa nchi nyingi sana duniani, China karibu asilimia 75 ya uchumi wake ni viwanda vilivyo...
Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali wakuu. Natumia Sony Ericson experie arc.
Hawa jamaa huwa wananifurahisha sana pale wanaposisitiza kuwa hiyo heal haiwezi kukatwa hata kidogo, ili usije ukasema wakati hiyo processing fee juu kwa juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.