Recent content by B51

  1. B51

    Tukisema waafrika tumekuja kusindikiza watu wengine kuishi Dunia tuwe tunakubali

    Hivi tulidai au tulipewa tu!? Sio Kama mfumo WA unyonyaji ulishabadilika kutoka kunyonya kimabavu hadi kiakili ndio maana hizo harakati za kudai uhuru zikaanza! Unadhani mabeberu wangetukazia kiukweli tungepata uhuru? Si wangetutandika tu makofi wakafanya watakacho! Kwahiyo bado tunatawaliwa...
  2. B51

    Dunia ina Umri gani?

    2024
  3. B51

    Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Umemshtukia eeh! [emoji2][emoji2]
  4. B51

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Na alipomtuma Chakula alidhani atachukua muda gani kurudi? Au alidhani mpaka akirudi atakuwa ameshamrarua marunda!? Na Kama ilikuwa bado kwanini alinfungulia kwa kujiamini mashine ikiwa imesimama? Au ni mtu wake kitambo tu ila bro ndio ameshtukia dili!? Walikuwa na mazoea yakwenda kunywa...
  5. B51

    Dark days 17/03/20...

    Kigogo WA Siku hizi anaposti ishu za udaku Kama mange kimambi
  6. B51

    Dark days 17/03/20...

    Yoga ametutelekeza
  7. B51

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Tukisema mbunifu ni Mungu tunakosea?
  8. B51

    Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

    Tutafuteni pesa jamani.. Alhaji takadini anawagegeda anavyotaka kwa sababu ya mkwanja.
  9. B51

    Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Duuh.. Hii ya madam Rita ndio naipata [emoji848]
  10. B51

    INAUZWA Welcome To Electronics products Empire

    Hisens wana nchi 55 ambayo sio smart?
  11. B51

    INAUZWA Welcome To Electronics products Empire

    Hivi TV ikiwa smart maana yake ni kwamba Kama Sina bando inakuwa Kama simu ya tochi
  12. B51

    Tarehe 19 December Simba vs Wydad hiyo itakuwa kama fainali, Simba ukipoteza tu kwa heri

    Ingekuwa Simba ile ya miaka mi3 iliyopita ningekuwa na matumanini but Simba hii ya Seidooo... Hamna kitu.
  13. B51

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Mashabiku WA simba wamegoma kwenda uwanjani! [emoji848]
  14. B51

    Dark days 17/03/20...

    Kwamba watangulizi wake walikuwa vilaza hawakuweza kudhibiti mianya ya kupotea kwa mapato!? Au kwamba jamaa walikuwa wapigaji sana!?
  15. B51

    Dark days 17/03/20...

    Alijua anatolewa kafara na swahiba wake...
Back
Top Bottom