Recent content by Kabonde

  1. K

    JamiiForums Tanzania Boko haram jana wameua 17 juzi 118

    Kwa hakika wewe si miongoni mwa wale mabikira 72 watakaokuwa wanawapatia pumziko magaidi wa Boko haram,Alshabab na Osama bin Laden ha ha ha ha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Waliokuwa Katika Picha Hii na Ndilo lilikuwa Baraza la Wazee wa TANU (Wengine: Hawapo) [*=left]Abdallah Shomari (Tandamti No. 3) [*=left]Nassoro Kalumbanya (Simba) [*=left]Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo) [*=left]Mtoro Ally (Muhonda) [*=left]John Rupia (Misheni Kota) [*=left]Julius Nyerere...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Boko haram jana wameua 17 juzi 118

    Dini inayoruhusu fujo,mauaji,kubaka watoto wa miaka 6 shida tupu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Butiama wote wanataka serikali tatu

    Tunataka katiba ya wananchi si katiba ya kamati kuu ya CCM
  5. K

    JamiiForums Tanzania Home of AC Milan, Official Thread

    Milan walikimbizwa kidog ulimi udondoke.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mkuu Remote umemsahau Ngongo Pasco Mkuu hii thread imemdhalilisha Mohamed Said kwa kiwango cha kutisha.Ameshindwa kutetea hoja za msingi.Wapo mashabiki wake kama Ritz Barubaru THE BIG SHOW Boko haram zomba wamejitahidi sana kumtetea babu wa watu asizidi kudhalilika lakini wamejikuta wakishindwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mwambie huyu mvaa pedo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

    Mkuu Paulo MSALABA Zanzibar hajafikia hadhi ya kuitwa mkoa,takwimu za sensa ya mwaka 2012 zimebainisha Zanzibar ina idadi ya 1,300,000 tu hii ni sawa na idadi ya watu wa wilaya ya Kinondoni tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hawa watu wanapenda vurugu mtindo mmoja badala ya kuhubiri amani wanahubiri chuki na husda taabu kweli kweli.
  10. K

    JamiiForums Tanzania SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

    Mkuu masopakyindi SUK walifanya mabadiliko ya katiba ambayo yalikuwa yakiondoa ama kupunguza mamlaka ya Rais wa JMT.Mheshimiwa Lissu akaliona hilo akapiga kelele mjengoni yule Mama anayekalia kiti cha enzi cha mjengoni (nisije nikala BAN) maana jina lake nimelisahau kidogo akalikalia,wabunge wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

    Mkuu masopakyindi uhani na ugaidi vitu viwili tofauti.Uhaini ni hali ya kutaka kupindua serekali kwa kutumia mbinu chafu (kinyume na sheria) Ugaidi ndiyo huo unaoendelea Zanzibar Uamsho,Nigeria Boko Haram,Somalia Al Shabab Palestine Hamasi na Mali MNLA ......
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kuishabikia Arsenal

    The Boss thread inahusu Ngongo kuhamia Manchester United wewe unaleta mambo ya Looserpool wapi na wapi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania The 25 Most Miserable Places in the World:KENYA YA 13

    Where is Tanzania ????????????????
  14. K

    JamiiForums Tanzania SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

    Mkuu hilo lipo wazi kila mtanzania anajua SUK imejaa maharamia na watoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kuishabikia Arsenal

    Mkuu kashengo jamaa kahama kweli hataki mchezo.
Back
Top Bottom