Recent content by Kabogo Kabogo

  1. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

    Ni mkiristo huyo hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja
  2. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    🥵🥵😩😫🥵Wanatuvuruga sana aiseh!
  3. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Wameanza na kututisha..!

    Duh!
  4. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    [emoji12] [emoji115] [emoji12]
  5. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
  6. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Mimi so msomaji sana wa riwaya lakini ya Mkimbizi naipenda na sitaweza kuisahau
  7. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Serikali makini yapaswa kua makini na kujiridhisha na uraia wa raia waishio mipakani wakati wote sio kasubiri wakinyooshewa vidole ndio waanze kukuhoji mambo ya uraia na vitu kama hivyo!
  8. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Tatizo la watawala wetu ukiwakosoa ndipo watakapo anza kuhoji ulipaji wako wa kodi, uraia wako nak; mradi tu wakupe msukosuko rekodi zinaonyesha hivo! we mtu anakaribia miaka sabini miaka yote hiyo walikua wapi?
  9. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Kanisa katoliki halifanyagi mambo yake juujuu tu kama unavyo fikiria! mtajua tu mbele ya safari, kanisa katoliki halijawahi kukurupuka
  10. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuchoma nyama bila jiko la mkaa wala kuni

    Ahaaahaahaaa [emoji12] wa mikoani!
  11. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Sawa ila na nyie muwe wa kweli na wa wazi! maana bila Lisu tusinge lifajamu hili!
  12. Kabogo Kabogo

    JamiiForums Tanzania Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Ndugu watake radhi aise! Ni mamazako hao
Back
Top Bottom