Recent content by Kabino

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi umasikini ni suala na mtu binafsi au zao la mfumo?

    In short, you can be rich in a poor country. Mind you, success is the result of perception. What you see as a problem another one sees it as an opportunity.
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

    Hivi unaanzaje kuwa kwenye chama cha mtu!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mkoa wa Arusha watangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Du. Kumekucha
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Hekima ya lissu ni ndogo mno. Huwezi kuwananga watu wa chato juu ya uwanja wa ndege na mbuga halafu tena ukawaombe Kula. Zinamtosha yeye tu!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Leo Mbowe umeharibu kila kitu. Labda amelewa! Pamoja na Zitto kumuunga mkono Lissu anasema hivi vyama ni mkakati wa CCM kweli?
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya uchaguzi yatawashangaza wengi

    Siasa haihitaji hasira. Maana unaweza kuzimia on the judgement day.
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Natabiri jpm kupata zaidi ya 80%
Back
Top Bottom