Recent content by kabiko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Themi, watetemesha Jiji la Arusha

    Kama ni mvua hizo ni rasharasha Hawa magamba huku themi mbali na kutuletea waganga wa kienyeji, mbali na kuchinja mbuzi kila Mara kwa aliyekuwa balozi wao wa zamani lakini hakuna jipya tunawapa vidonge vyao tu kila kukicha. Na zaidi ya tote baada ya kuwagalagaza S/Mitaa tukutane tena oct
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Iramba: Jesca Kishoa na George Gunda Wa Mkalama Waifuta CCM

    Kazi ndo kwanza imeanza hakuna kuogopa wauwaji wala wapiga mabom hapa tunawaleta tunawachanachana kisha tunawatupa Kule magogoni mwaka huu pataeleweka. Tunatoa ukoo wote wa panya tunaweka tumaini jipya la watanzania
  3. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Wapewa Tuzo Kwa Kumuenzi Nyerere

    Well done BAVICHA . CDM ni mpango wa MUNGU hata mfanye nini Mungu atawapigania daima. All the best
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Umeona eeeeeeh lwesye. Wacha tuone mwisho wa huyo ayatollah zzk coz anajua kabisa anachokifanya hakina maslahi yoyote kwa watanzania he just trying to maintain status ambayo alishaiuwaga miaka 200 iliyopita kwa Tamaa zake za madaraka. Mkaka mpuuzi sana yule
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Huyo wala hatumtambui imba wimbo wake mmojawapo unaoshikilia vyema kibendera hadi leo hii. Nyota yake haina mng'aro kaimba manyimbo kabandika kwenye CD .... CD zenyewe zinaozea kwa wauzaji hazinunuliki. Hana jipya huyo wacha ayatollah amfunze adabu kwanza ndo atagundua mini maana ya Kuwa na msimamo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Zitto ni kimbelembele sana anapendaga kuonekana wa maana Saa zote tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Ayatollah zzk kazini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Ben unatoa taarifa ukiwa kama nani kwamfano go go goooooooo no one cares.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

    Huyo msaliti ayatollah zzk hana pakutokea mwaka huu tutazibana mpaka aseme poo mwenyewe. Anajidai mjanja wakati his full stressed. Mfyuuuuuuuuuuuuuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini, jimbo laanza kunyemelewa

    Ccm hawana lao moshi vijijini. Hakuna cha hancy wala makoi wala chami
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Awindwa

    Wapuuzi hao . Hawa jamaa. Ni wakurupukaji asikwambie mtu. Mh. Lissu achana na wajinga Hawa usirudi nyuma daima songa mbele. Omotollah zzk yupo nyuma yao pia
  12. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Ayatollah zzk hii ndo ilikuwa kiu yake alipokuwa CDM sasa kaza buti na dhambi ya usaliti ikikuhukumu milele
  13. K

    JamiiForums Tanzania kiteto tunataka kuvua ngwanda na kuvaa uzalendo

    Acha ushamba we mtoa mada kama na wewe ushakunywa uji wa mgonjwa usiwasemee wenzio jisemee wewe peke yako na roho yako.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyama pinzani vijiandae leo ndio mwanzo wa anguko lao.

    Jiandaeni nyie waroho wa madaraka mlioanzisha chama cha kifalme. Kwani nani hajui kama viongozi wote wa act ni waroho wa madaraka. Hawajajiunga na act kwa mapenzi ya kweli ya kupiania nchi na wananchi bali ni baada ya wao kujikuta wamefukuzwa kwenye vyama walivyokuwa kwa uroho wa madaraka
  15. K

    JamiiForums Tanzania Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote

    Nikikumbuka jinsi Zitto alivyojolitoa mhanga kumfanyia Kampeni Wenje kule Mwanza, Nikikumbuka Jinsi alivyopiga kambi Tegeta kumsaidia kampeni Halima Mdee, Jinsi alivyotia nguvu kumsaidia kampeni Mnyika hapo Ubungo, Nikikumbuka jinsi alivyozunguuka na Dr Slaa takriban nchi nzima, halafu leo hii...
Back
Top Bottom