Hakika huu wimbo umenikumbusha mambo mengi nikiangalia nchi inavyoenda hakuna ustawi ktk jamii,uzalendo,haki,amani na tumaini letu linazidi kupotea kwa kukosa utashi kwa baadhi ya viongozi,rushwa kila kona,uonevu wa kila namna,Uhuru hamna na watanzania kupoteza tumaini kutokana na hali ya...