Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,216
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nasikia na uyu wa kwetu ni m burundi
Hajamuambukiza ila ndiye anayetawala Tanzania kwa sasaKwani Kagame si ndyo amemuambukiza Yonaha hzo tabia,pia kabila la Kagame kinaroho mbaya kiasili na wao huamini kuwa walizaliwa ili watawale na siyo watawaliwe!
Mamaeee walahi!Hajamuambukiza ila ndiye anayetawala Tanzania kwa sasa
Mamaeee walahi,kumbe jamaaa anatawala nchi mbili at the same time...basi he is an International President!Hajamuambukiza ila ndiye anayetawala Tanzania kwa sasa
Xawa but taratibu tunapelekwa huko na ukatili wa mhutu kwa visingizio vya kutekeleza miradi ya maendeleo,stupid kabisa toka Uhuru kila Rais ametekeleza miradi ya maendeleo kwa sense of humanity.Whatz so special kwa huyu? imagine Uhuru kidogo wa kukosoa na kuleta maoni kinzani tulionao kwa sasa ni kwenye mitandao tu tofauti na hapo unakapatwa na mabalaa kama ya huyo pkJamani mi nilikuwa Rwanda nimeona maisha wanayoishi ni mabaya na magumu hatari watz tunalalamika kumbe tunaishi Kwa raha sana
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta ,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii,eti kagame ni kiongozi bora,huyu kwa akili zake hafai hata kuwa balozi,kitendo anachofanya kagame sio tu kinatoa picha mbaya nchini mwake Bali ni kwa bara zima,kwamba viongozi wanaingilia mahaka kutekeleza chuki za mioyo yao,jambo hili lina hatarisha uwekezaji kutoka nje
Ya bara LA afrika,muwekezaji akisia kuna kiwanda kinauzwa na serikali kwa njia ya mnada eti kwasababu mmiliki kaamua kugombea urais kumpinga raisi anayetawala,na mlalamikaji hajapewa haki ya kukata rufaa ,muwekezaji hawezi kuja afrika.waafrika tusipokemea mambo haya ,eti yametokea nchi jirani hayatuhusu,tutakosea sana wawekezaji wa kweli hawatakanyaga afrika,pia na wawekezaji wa ndani wataogopa kuwa siku wakipingana na mtawala viwanda vyao vitapigwa mnada,shida kubwa ya watawala weusi wanataka kuheshimiwa kama kwenye familia zao ,watawala wa kiafrika wanapaswa kutenganisha madaraka na kuheshimiwa wajione ni wananchi wakawaida
unajijaza ujinga, shauri yako.auwe mtu halafu abaki mitaani,nyie watumwa wa B7 ujinga utawaisha lini?Tena ni kibaya sana,kinafanana kabisa na kile alichokifanya mbowe kumuuzia chama mamvi ili silaha asigombee urahisi!na alipopaza sauti akataka kumuua mpaka akakimbilia kanada. Mbaya sana hii tabia.