Recent content by KABIDI BODO

  1. K

    Cosmas Chidumule - Libarikiwe Neno Hili

    Asante sana please naomba na Ya Nini Mizigo Hiyo
  2. K

    Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NA Kanuni Mpya Nani wakulaumiwa

    Vipo upande wa serikali, haviwezi kumtetea mfanyakazi
  3. K

    TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Majengo ilikua bora zaidi kwa ajili yake, imebaki kuwa miongoni mwa sehemu bora sana zilizowahi kutokea katika maisha yangu.. Mungu anajua zaidi mioyo yetu kuliko tunavofahamiana, lakini katika akili zangu za kibinadam Mungu amevuna kilicho bora, hakika Brother Peter Lymo alikua ni Mzazi, mwalim...
  4. K

    Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Yeye alikua wapi kuwaombea kwa Magufuli kabla Lissu hajasema.. au yeye ndio anatumika kisiasa
  5. K

    Nijibu matusi? Hapana, najibu hoja tu!.

    Mkuu upo sahihi kwenye kugombania fito, lkn haupo sahihi kwenye kusema alimaanisha 3.6M kwa sababu kuu mbili 1. JF in option ya kuedit na Yeriko analijua hilo 2. Hata kama kuedit imeshindikana alipaswa japo kujibu yeye mwenyewe kuwa hilo ni kosa la kiuandishi hakuwa na maana ya 36 bali 3.6...
  6. K

    Nijibu matusi? Hapana, najibu hoja tu!.

    Yeriko hapo kwenye wanachama milioni thelathini na sita (36m)..!!!!! naona umeanza kuwa sawa na Polepole sasa..
  7. K

    Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

    Ijumaa Saa 9 Alasiri mpaka saa 5:59:59:99 usiku ni siku moja na usiku mmoja, Jumamosi Saa 6:00:00:00 usiku mpaka saa 5:59:59:99 usiku ni siku ya pili na usiku wa pili, Jupili Saa 6:00:00:00 usiku mpaka wakati anafufuka Alfajiri ya jumapili ni siku ya tatu na usiku wa tatu, maandiko hayakutaja...
  8. K

    Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Ninatumia kisumbusi cha DSTV, TBC ndio local channel pekee inayopatikana humo, lakini siwezi kutazama TBC, inatazamwa mara mbili tu kwa wiki jumamosi na jumapili kwa ajili ya watoto kwenye kile kipindi cha Akili the brain.. after that ninasahau kama kuna channel inaitwa TBC.. Kiukweli kuangalia...
  9. K

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nimejaribu kugoogle, record ya kwenda na kurudi kwa muda mfupi zaidi iliwekwa mwaka 2006 na mtanzania mwenzetu, Alitumia geti la Umbwe, kupanda na kushuka alitumia masaa 9 na dakika 19 ilikua 22 February 2006 source:Record Climbs - Climb Mount Kilimanjaro Kilimanjaro Records Fastest ascent...
  10. K

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    umeieleza vizuri mno, unafaa ukafanye kazi maliasili na utali tena kitengo cha PR & Marketing kabisa.. Anaesoma ulichokieleza asipovutiwa ujue hawezi vutiwa hata iweje.. Hongera mkuu, Ila huyo aliyepanda mlima kwa mass matano alifika kileleni Uhuru peak kabisa? Is he still alive? Hiyo inaweza...
  11. K

    Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    Hebu tupe za kwako tuone, maana inawezekana unazo na unazijua.. na nini kifanyike?
  12. K

    Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    Mioyo ya ubinafsi, Waafrika wengi hawapendi kuona mwingine akiendelea, kwa mfano Tanzania kumekua na kasumba ya kuomba matajiri wakomolewe, wafilisiwe ili wote tuwe masikini.. badala ya kuwaza namna ya kuwezeshana au kujiwezesha ili aliyejuu umfuate hukohuko juu, tunaomba aliyejuu ashuke chini...
  13. K

    TUCTA yaianika serikali ya CCM ubabe wa kuwaibia watumishi mafao yao

    Wamezungumzia hoja moja tu ya kikokotoo, Inamaana wapo kisiasa, kwanini hawajaeleza kuhusu fao la kujitoa?
  14. K

    Hassan Ngoma amponda Bulaya kuhusu kupeleka mswada binafsi bungeni.....auliza alikuwa wapi wakati sheria inapitishwa?

    Huyu atakua sio mfuatiliaji wa bunge, na pia atakua sio muajiriwa maana tunajua watangazaji wengi wa kwenye media hawana mikataba ya ajira hivo inawezekana hachangii hata 10 ya hifadhi ya jamii.. Yeye pia alikua wapi kabla hajamsikia Bulaya, na hao wawakilishi anaowataja ni kina nani na walikua...
Back
Top Bottom