Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NA Kanuni Mpya Nani wakulaumiwa

KABIDI BODO

Senior Member
Jan 19, 2017
184
252
Kumekua na sintofahamu kuhusu sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii hasa baada ya SSRA kuja na kanuni zenye kikokotoo cha 25%, ukipita kote kwenye mitandao ya kijamii kumekua na kulaumiana kati ya Wabunge kama wawakilishi wa wananchi na wafanyakazi, kila kundi likilaumu jingine. Wabunge wa Upinzani ambao ndio wapo mstari wa mbele kuwatetea wafanyakazi wanaongoza kwa kuwalaumu wafanyakazi. Moja ya andiko la Mh Zitto Kabwe (MB) limesomeka kwa kuanza na "tuliwaonya 10/12/2017.......

Mh John Heche (MB) yeye amewalaumu wabunge wenzie hasa wa CCM (ambapo ni ukweli hawapaswi kukwepa kwa hili) kwa kutumia wingi wao vibaya kupitisha sheria hii kandamizi kwa wafanyakazi kwa kuweka baadhi ya kumbukuzi za michango ya wabunge wa upinzani bungeni moja wapo ikiwa ni Mchango wa Marehemu Mwalim Kasuku Bilago iliyosisitiza juu ya umuhim wa kuweka kikokotozi kwenye sheria badala ya kuacha kiende kwenye kanuni.. Kwa CCM ni mchango wa Mh Bona Kalua (MB) pekee ndio unaoonekana kumtetea mfanyakazi

Je ni kweli kuna uzembe kwa wafanyakazi kutokufuatilia na kujitetea linapokuja swala la haki zao? Ukweli mchungu ni kuwa kweli wafanyakazi wa Tanzania wanapaswa kulaumiwa katika hili hasa kutokana na kuchagua viongozi wasiojua wajibu wao kwenye vyama vya wafanyakazi, Toka swala hili limeanza sijasikia kauli ya viongozi wa vyama hivi.. TUCTA kama mama na wanawe TRAWU, CWT, COTWU, TUGHE na vingine vingi havijasema chochote.
Lakini pia wafanyakazi wachache ambao wamepata nafasi ya kuitumia mitandao ya kijamii kwa namna moja au nyingine wamegawanyika makundi mawili.. wapo ambao wanafuatilia mwenendo wa nchi kwa kufuatilia mijadala ya maendeleo na, hawa hata huko kwenye mitandao ya kijamii wanafuatilia account za wanasiasa na wanaharakati pamoja na vyombo vya habari, lakini lipo kundi la pili ambalo lenyewe lipo kwa ajili ya ubuyu na umbea.. hawa kwenye social media wanafuatilia maisha ya wasanii, umbea na udaku na hili ndilo kubwa zaidi, hivo hata mwaka jana wakati mswaada huu unapitishwa pale bungeni hawakua wakijua nini kinaendelea..

Huku maofisini kuna vituko vingi sana, mimi nimekutana na watu wengi ambao kimsingi hawajui lolote kuhusiana na sheria hii, na hata hili la kikokotoo kwao ni geni.. Unakuta mtu ni Manager kabisa anakuuliza, eti kuna nini kinaendelea nasikia ukistaafu utalipwa asilimia 25? Wengine ndio hawana hata habari.. Hawa ni wafanyakazi na wameenda shule ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutetea haki zao, lakini hawajui nini kinaendelea..
Bado kwa sector binafsi kuna hili fao la kutokua kuwa na ajira ambalo mpaka sasa kanuni zake haziko wazi, na hatujasikia likisemewa, ki ukweli taifa hili bado lina safari ndefu sana..

Je wabunge wanapaswa kulaumiwa? Wabunge wa upinzani kwenye hili walitimiza wajibu wao, isipokua hawapaswi kumlaumu mfanyakazi kwa sababu wanajua fika kuwa bunge halioneshwi live kama zamani, na isitoshe limepoteza mvuto na ufuatiliaji umepungua.. vyombo vya habari vingi vinareport habari za kuifurahisha serikali hivo ufuatiliaji umekua mdogo, uhuru wa kupata habari umebinywa sana awamu hii, swali la kujiuliza haya mliyoyaongea na wengine wanaosema walionya ni wafanyakazi asilimia ngapi yaliwafikia, na je hao waliofanikiwa japo kupata taarifa walielewa maudhui ya mswaada wenyewe kama ambavyo nyie wabunge mlielewa? nina uhakika waalimu ambao ndio wapo kwenye kundi kubwa la wafanyakazi wengi hawjui kinachoendelea, hata hili la kikokotoo kwao ni kitendawili kigumu wengi wao sidhani hata kama wanaelewa kuhusu unyonyaji huu..

Wabunge wa chama tawala na vingozi wa vyama vya wafanyakazi hawana lakujitetea kwenye hili, wametumia nafasi zao kuunga mkono unyonyaji huu na wengine wamediriki hata kusema hili haliwahusu kama alivotweet Mh Hamisi Kigwangala (MB)..

Ni wakati sasa wafanyakazi wenye uelewa na nafasi wanaoweza kupata habari sahihi kushirikiana na wale wabunge na wanaharakati kuwaelimisha wafanyakazi ambao hawana taarifa na ambao wanataarifa zisizo sahii juuu ya yale yote yanayoendelea kwa mustakabali wa mfanyakazi na taifa kwa ujumla..

Nitoe Rai kwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi wawasiliane na viongozi wa TLS ikiwezekana haki ya wafanyakazi ikadaiwe Mahakamani.. Tunahitaji fao la kujitoa lirejeshwe, tunahitaji kikototoo kirekebishwe mfanyakazi apewe pesa stahiki.. Tusipojitetea wenyewe hakuna wakututetea, Kama viongozi wa vyama vya wafanyakazi wameshindwa kutetea haki za wafanyakazi sio dhambi kupumzika na kuwachia wengine, tuanze na hao kwanza yawapasa wang'oke, vile ni vyama vya wafanyakazi sio vyama vya kisiasa, vipo kwa masilahi ya wafanyakazi..

Niwaombe wabunge ambao wamekua mstari wa mbele kutetea masilahi ya watanzainia ikiwa ni pamoja na wanaharakati wasichoke, na pengine wanapopata nafasi watoe elimu, mtusamehe sisi wafanyakazi kwa kutokua wamoja katika hili..
 
Jiwe, faru ndugai, beki tatu muhagama, na malaya wa ccm(wabunge)
 
Hapa wa kulaumiwa ni magu kachukua mafao ya wafanyakazi kama mali yake
 
Asante Bulaya, unatupambania japo wapambaniwa ndio wenye shida kubwa, hatuna umoja kabisa
 
Hali ni mbaya kwa wastaafu kwani wapo ambao wanadai mafao kabla ya kuunganishwa mifuko. Kwa hali hii na mwenendo wa ubabaishaji wa SSRA ni dhahiri kuwa hawatalipwa. Mfano ni waataafu wa ATCL wanadai mafao yao ya wakati wa PPF sasa serikali imeunganisha mifuko kuzima haki zao. Mahakama ilitoa amri kwa PPF kunadi mali za ATCL kufidia madai hayo lakini hadi leo hakuna kilichofanyika. Dhuluma na uwonevu kwa wastaafu hauanzii kwenye vikokotozi zimeanza miaka saba iliyopita kwa wastaafu ATCL kunyimwa haki zao na hili Irene wa SSRA analijua lakini anashindwa kuchukua hatua kwa kulinda kibarua chake. DHULUMA MIFUKO YA JAMII IPO MUDA MREFU WABUNGE WASAIDIENI WASTAAFU ATCL.
 
Mm mwenywe nashangaa na lawama zangu zote natupa has a kwa wabunge
Wameweza kuamua hayo kwa kuwa sheria hyo haiwahusu sababu wao sio watumishi wa umma
Ila ungeskia kuhusu mafao yao kuwa wangepewa 25% ungeskia bunge kwa jinsi lingekuwa pamoja kutetea maslahi yao kwa kuwa mafao ya wafanyskazi hayawahusu basi wameamua kupitisha kwa moyo mmoja,kwa kuwa anaeumia ni mfanyakazi na sio yy
Mungu atusaidie ss wafanyskazi wa Tanzania hii mm ndio kwanza bado 26yrs nistaff ila naiona Kesho yangu kuwa mbaya zaidi kusubir ndani 12.5yrs ili nipate mafao yang yote

Eeeee mungu utusidie hii miaka 7 iliyobaki huyu MTU aelewe uchungu tulionao ss watumishi wa umma
 
Hili jicho la mzee baba, CAG mwenyewe kashindwa kukagua.. Ila kiukweli SSRA ni jipu jingine kwa wastaafu na wafanyakazi
 
Mm mwenywe nashangaa na lawama zangu zote natupa has a kwa wabunge
Wameweza kuamua hayo kwa kuwa sheria hyo haiwahusu sababu wao sio watumishi wa umma
Ila ungeskia kuhusu mafao yao kuwa wangepewa 25% ungeskia bunge kwa jinsi lingekuwa pamoja kutetea maslahi yao kwa kuwa mafao ya wafanyskazi hayawahusu basi wameamua kupitisha kwa moyo mmoja,kwa kuwa anaeumia ni mfanyakazi na sio yy
Mungu atusaidie ss wafanyskazi wa Tanzania hii mm ndio kwanza bado 26yrs nistaff ila naiona Kesho yangu kuwa mbaya zaidi kusubir ndani 12.5yrs ili nipate mafao yang yote

Eeeee mungu utusidie hii miaka 7 iliyobaki huyu MTU aelewe uchungu tulionao ss watumishi wa umma
Unyonyaji na ukandamizaji wa haki za wafanyakazi umekua ni tatizo kubwa nchini, hili linasababishwa na ulegevu wa vyama vya wafanyakazi
 
Back
Top Bottom