Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Hana wivu na Zitto, bali hataki mtu avuke daraja kwa kumuua mwingine. Wenye akili ndogo hamta muelewa.
Una wivu sana na Zitto
Una wivu sana na Zitto
Tunaomba ufafanuzi.....wanachama milioni 36
Zitto ni mshenzi tu.Una wivu sana na Zitto
Nyendo zipi hasa za Zitto zinahatarisha usalama/uwepo wa CHADEMA?Nyendo zako zinafahamika hatua kwa hatua, unaihitaji Chadema sawa na chadema inavyohitaji vyama vingine lakini mwenendo wako na mipango yako inaondoa uaminifu wako kwa wapinzani wenzako. Kumlisha uongo Lissu kwa maslahi yako kisiasa hii haitakubali.
Na ni bange mbichi... Eti wanachama 36M kubaabanye ntoto huyuitakuwa haka kajamaa kana piga bangi sana na bamia kanazichanganya ndiyo maana akanajionaga kama ka John bolt.
Naaam!Jasusi mkuu kutoka Mbutu kigamboni V/S Mtekwaji mkuu toka Saohill mafinga
Hiyo 36m naomba ufafanuz kwanza bwana jasusi
Nami nasubiri majibu.Umeongea mambo mengi yakiwemo ya kwenye vikao! Ningependa tu kufahamu cheo chako kwenye hicho chama chako. Umeongea kama Tumaini Makene hivi, msemaji wenu wa chama.
Nilitaka kuuliza swali hili ina maana Lisu nae kawa kilaza alishwe uongo au Lisu anaishi stone age kua hawezi pata taarifa zinazoendelea Tanzania mpaka mtu amfuate na kumjulisha. Yericko anatumia sana moyo badala ya ubongo kuhusu Zitto mwisho wa siku anaonekana ana chuki binafsi tu.Nyendo zipi hasa za Zitto zinahatarisha usalama/uwepo wa CHADEMA?
Lissu ni mtu mzima na ana utambuzi/uelewa wa kiwango kinachoridhisha. Kwa vigezo vipi unasema analishwa uongo? Inamaana Lisu hawezi kuchanganua kati ya urongo na ukweli?
Kwa hoja zipi unaiona ACT kama Wapinzani wa CHADEMA? Maana Maalim alivyohamia tuu ACT uliweka bandiko la kuponda kitendo hicho.
Inamaana nusu ya watanzania ni wanachama wa CHADEMANa ni bange mbichi... Eti wanachama 36M kubaabanye ntoto huyu
Swala la chuki binafsi hata mimi nimeona dalili zake. Naona kama mapenzi yake, yako kwa Mwenyikiti tuu na ndio mana kwenye bandiko hili ametupia picha yake wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti.Nilitaka kuuliza swali hili ina maana Lisu nae kawa kilaza alishwe uongo au Lisu anaishi stone age kua hawezi pata taarifa zinazoendelea Tanzania mpaka mtu amfuate na kumjulisha. Yericko anatumia sana moyo badala ya ubongo kuhusu Zitto mwisho wa siku anaonekana ana chuki binafsi tu.
2020 ACT ndio Chama Kikuu cha Upinzani Nchini,
naona unaumia kishenziSwala la chuki binafsi hata mimi nimeona dalili zake. Naona kama mapenzi yake yako kwa Mwenyikiti tuu na ndio mana kwenye bandiko hili ametupia picha yake wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti.
jipe moyo2020 ACT ndio Chama Kikuu cha Upinzani Nchini,
huyo the bold aliyatolea wapi ?Yericko kaombe msamaha kwanza kwa Habibu Anga ( The Bold) kwa kuiba maandishi yake na kujifanya ya kwako!