Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana nimekwama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapigana ili sheria zifuatwe, kukurupuka kuishe. Ninyi watu wa CCM mnadhani hizo mambo za makinikia zitawafaidisha kisiasa, wenye akili "CHADEMA" wanaona approach iliyotumika haiwezi kuleta tija ama faida kwa taifa. Ndio maana wanalipinga kwa thati kabisa ili tusiingie ktk madeni makubwa...
Nimefuatilia hii issue ya kuteketea kwa moto soko la Mbeya. Nimeona niwashirikishe hisia zangu. Naona kuna hujuma kwa watu wa Mbeya ( Tena za kisiasa.). Mfano kitendo cha Mkuu wa wilaya ya Mbeya kukataza wafanyabiashara (waliounguliwa vitu vyao) kujenga vibanda vya muda ili waendelee na biashara...
Tafdhali mtoa mada nakusihi zungumza na mkeo, msitoe mimba bali muilee. Mpeleke kwa wanasaikolojia wakae naye na wamweleze kuwa inawezekana. Pia jitahidi kumwonesha mapenzi ya ziada zaidi ya awali ili ajue uko pamoja naye. Kingine ni kwamba jaribu kumsahaulisha kwa kupeleka katika sehemu tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.