Recent content by kabambagusha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    Sio suluhu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    Ni bora uhadithiwe tuu. Unaweza kufa kabisa au kupata magonjwa kama ppresure mmh Mungu atutie nguvu. Ila kiikweli inaumiza mno hasa kama ilipenda toka moyon
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Ethiopia limenifanya nateseka

    Angalia lawyer uliemtumia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Ethiopia limenifanya nateseka

    Kuna jamaa hivyo hivyo kwenye rwandair alipoteza mzigo zaidi ya miez mitatu ikapatikana alilipwa vizur mno
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Ethiopia limenifanya nateseka

    Fungua kesi hapo lazima uwe milionea voz itabidi ulipwe hadi psychological tocha. We mkomalie mkurugenzi wa shirika hilo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha michepuko, je watarajiwa wa ndoa michepuko tunaizuiaje?

    Kama mkristo nenda mlilie Mungu madhabauni ukiwa ktk hali ya usafi Mungu atakupa wako na usiwe selective mwachie Mungu atakupa tuu mwenye hofu yake. Be blessed
  7. K

    JamiiForums Tanzania COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    Inawezekana umeshamuona pasipo kujua coz matendo Yake yanaonesha wazi juu ya uwepo wake
  8. K

    JamiiForums Tanzania COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    Mungu yupo jamaa kadadavua vilivyo juu ya uwepo wa Mungu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Naomba nielekeze namna ya kujiunga na group hilo la viwawa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kitamu duniani kama ku fall in love

    Its true Mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tumeishi miaka mi 3,kauli zake zimekuwa zakuniumiza sana

    Acha bomoa nyumba ya mwenzako bana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

    Badilika ndumb inepitwa na wakati tegemea sirGod only
  13. K

    JamiiForums Tanzania Soul ties au vifungo vya nafsi

    Ni afadhari umejichagulia kuwa na sir devil
  14. K

    JamiiForums Tanzania Soul ties au vifungo vya nafsi

    Mmh that right. Hiyo imeshapita but camp nyingine ingeandaliwa tena ili wengi wapate neema hii ya kufunguliwa. For me nimuona Mungu ktk camp hiyo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Wametumia njia ya kuweka wakwe wakijua c watu wengi watawaweke ili tuendelee kunyonywa yaan nnch hii acha tuu
Back
Top Bottom