Recent content by kabamanya

  1. kabamanya

    Building a new politics for sustainable democracy and security in Africa

    Unanswered questions. All African Peoples' Conference 2018 (Accra 2018) completed in Ghana, under the #Hashtag #AfricanMustUnite, left a number of question unanswered. What is politics? What is New Politics? What was the Old Politics of Africa? How to build a new politics? And new politics for...
  2. kabamanya

    Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

    ni vizuri kama mtatupa PDF file ili tuweze kusoma kwa undani
  3. kabamanya

    Kubenea: Lowassa ameonesha njia

    shida moja tuliyo nayo vijana na nakumbuka nimewahi kusema shida hii hata wakati hule wa uchaguzi, tunajibu mambo kwa hisia tu sio kwa kufikiri. Ndugu kubenea ametumia mifano akafanya comparison na kufanya hitimisho lake. Sasa kwanini hatujishughulishi na hoja yake?
  4. kabamanya

    Wabunge Lema na Nassari watoa ushahidi wa DC na Mkurugenzi Arumeru walivyowarubuni Madiwani 10 wa CHADEMA waliohamia CCM

    mbona hizi video zinaonyesha kuwa ni za 2008? msaada watu wa picha
  5. kabamanya

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na Joseph Butiku.

    Sote kwanza tunapenda kupongezwa, lakini sote tunapenda umimi, na sote hatuwezi timiziwa umimi, hivyo hata ndugu Rais hawezi kutimiza umimi wa kila mtanzania bali anaweza kutimiza mahitaji ya jumla ya kila mimi mtanzania. Sasa akikosea katika kutimiza mimi ya kila ya mtanzania anatasaidiwa...
  6. kabamanya

    Msajili wa vyama vya siasa nchini apinga CUF kufukuza wabunge wawili

    Msajili anakuza mgogoro huu, hakukuwa na haja ya kutaja taja viongozi wa chama, kazi yake ni kuhoji kama utaratibu umefuatwa. Kufikia maamuzi.
  7. kabamanya

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!

    mbona siku zilizopit atulisikia serikali imechukua shamba hili? au ilikuwa mambo ya vyombo vya habari?
  8. kabamanya

    Butiku: Miaka 55 hatuwezi kujenga mtambo wa kuchambua mchanga wa madini?

    Tujadili hoja yenyewe binafsi sijaona mawazo ya CCM hapo japo wazee wamesemwa kuwa sio wa Dar es Salaam ni wa CCM. Je CCM haina wazee Dar es Salaam?
  9. kabamanya

    Job opportunity at the mwalimu Nyerere foundation

    The Mwalimu Nyerere Foundation is inviting qualified candidate to apply for the following vacancies in the service of the Foundation. Please follow this link Vacancies – Mw. Nyerere Foundation BACKGROUND INFORMATION The Mwalimu Nyerere Foundation is a Non-Governmental Organization...
  10. kabamanya

    Fursa Fursa - mtaji TSH 10,000

    Fursa hii kwa watu ambao wako sharp na wanauelewa na wako tayari kutumia technologia kupata kipato watauliza jambo hili liko vipi? hasa watajitahidi kujua risk and benefit? Ukiona mtu anakwambia ni schema, ni desi ujue bad fikra za mwaka 47 bado anazo. Tujitahidi kutumia fursa zilizopo kwenye...
  11. kabamanya

    Fursa Fursa - mtaji TSH 10,000

    NASHUKURU KWA MAONI YAKO, watu wetu technologia inawaacha
Back
Top Bottom