Je Mnakumbuka zawadi ya tofari la dhahabu alilozawadiwa Mr Ben Mkapa? Mnakumbuka simulizi ya suti alizopewa JK na tajiri wa Kiarabu ? Hamjapewa orodha ya walipokea za Stanbic Bank. List ipo itaanza kusambazwa muda mchache ujao.
Tibaijuka Anna anatakiwa awajibike ndiyo. Lakini je...
mkuu mi naona hawa jamaa waende tu sisi tubaki na sdc yetu tutasonga mbele tu.
Sina uhakika kama comment yako iko sawa. Je unadhani chi yetu inaweza ikahimili speed ya Mauritius, ]Afrika ya Kusini, Botswana, Namibia au... Kama ni migogoro tayari tunalo la mpaka na Malawi. Vyema tuwe ndani ya...
Siyo hilo tu.....Kuna gramatical errors kwenye majibu yake. Inasikitisha kwa kuwa mheshimiwa wetu amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 na Rais kwa miaka 7 na miezi kadhaa. Hajajenga confidence kweli... Hajakaa na washauri wake jinsi ya kujibu maswali. Yote tisa hali hii inajiotokeza mbele...
Tatizo au labda suala kubwa linalowakabili Watanzani(Bara) ni kutojitambua. Tunadhani katika umoja wowote ule uwe wa EAC au SADC tunakuwa watu wamoja. Hii si kweli na haitakaa iwe. Ndiyo maana linapokuja suala lolote tata kati ya Bara na Zanzibar, wenzetu kule wanakuwa wamoja zaidi kimsimamo...
Nimesoma post hii mstali kwa mstali. Mwisho, chozi limenitoka. Namafahamu huyo W.Lwakatare tangu tukiwa wadogo. Sikujua anaweza kuandika makala yenye funzo kubwa hivi. Pole sana kamanda. Mwenyezi Mungu akufariji wewe, mkeo na watoto wako. Vilevile, maandiko haya vyema wakayapata wanachama...
Kwa wale wasihofahamu siasa za Bukoba(V) ni kwamba Rwehikiza anajua hatarudi kwa Bunge. Na Karamagi kuchaguliwa kuwa mbunge ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano. Political landscape imebadilika, CDM wanapaswa wapeleke mtu makini. Kiti ni chao..Nini maana ya CCM bana shit for ever
Kwa wale wanaoangalia tvs za kimataifa say CNN, BBC nk watakubaliana nami kwamba vikao nyeti ka vya kamati za Senate na Bunge (House of Commons) vinaonyeshwa ''live'' na hata kama wanajadili mambo nyeti ya nchi zao mpaka hata watu wa Manzese, Butakya, Masiwani n.k tunapata habari. Iweje bunge...
80% ya unyanyasaji wa kijinsia upo huko alikoamia. Subiri joto la kukumbatiwa litakapo fika juu...atapata matokeo. Bye bye political waste...
Mungu ampe umri mkubwa atakuja kutambua maana ccmeeh.
Nadahani kuna NAKISI ya fikra bora. Serikali ni mojawapo ya mdau mkuu wa kutengeneza ajira nchi yyt duniani.
Kwa mtindo wetu hapa Tanzania wa kununua magari ya kifahari ya Shs Mil 200 ina maana ni '' mis-allocation of public resorces''. Pesa hizi mfano, zingeweza kuleta tofauti kwenye kijiji...
Enzi za akina Mwalimu Nyerere, Samora na Kaunda si akina hawa. Si ajabu unakuta amekuja kutanguliza 'mawe' ( diamond )na kupokea ripoti za vitega uchumi vyake. Viongozi wa Afrika wengi nyakati hizi ni watu wa deal- deal tu. Kama uamini fanya uchunguzi utabaini makubwa.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.