Recent content by k29

  1. k29

    JamiiForums Tanzania Ukitoa pesa ATM ya NMB ni chafu sana kuliko bank zingine why ni kama umerudishiwa change na muuza mkaa

    Makamu mwenyekiti: Mavi au sio mavi Wananchi: Maviiiiiiiiiiiii 💩💩💩
  2. k29

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mimba ya 5 sasa inatoka

    Hii Hii Kuna doctor mmoja aliwahi kuniambia, inabidi jamaa aende hospital kufuatilia hiki kitu.
  3. k29

    JamiiForums Tanzania NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

    Sijui kama wana printers, itakuq kuna sehem inayofanya consolidation. Then wana print
  4. k29

    JamiiForums Tanzania NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

    Wiki ya 5 sasa nasubiria kadi, jina lilikosewa. Wewe ambae kila kitu kimefutika sijui utasubiri kwa mda gani.
  5. k29

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwambieni Majizzo: Kioo kilichovunjika hakifutwi, kinatupwa kisije kikatukata!

    Naona mitandao imefunguliwa bila vpn
  6. k29

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majaabu ya 9 desember

    Zaburi 9:12 [12]Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge. When he maketh inquisition for blood, he remembereth them: he forgetteth not the cry of the humble.
  7. k29

    JamiiForums Tanzania Fikra Tunduizi: Ukatili wa Polisi dhidi ya CHADEMA unaashiria nini?

    Kuna taarifa nimeona huko Nepal, kuna siku inafika mifumo uliotegemea itakulinda, inabadilika na kukuwinda wewe mwenyewe.
  8. k29

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

    Ndo umemaliza au ina endelea mkuu. umetuacha njiani.
  9. k29

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini tumefika hapa na kwanini kuna giza mbele ya Taifa la Tanzania

    Kuna kitu ndani yako Mungu amekieka, wengi hatujakijua lakini usiache kutupasha yale yajayo, ili yakitokea utukufu wa Mungu ujizihirishe hapa duniani.
  10. k29

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naona safari ya Askofu Gwajima kurudi CHADEMA 2025

    Njoo hata na ID mpya, ili utupe za jikoni kabisa. Ili yakija kutokea tujue kabisa ulituambia na sisi tusiwe na wasiwasi.
  11. k29

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    The same play book.
  12. k29

    JamiiForums Tanzania Nauza Mazda Verisa

    Kuna watu wanasema km 18 kwa lita 1 ya wese
  13. k29

    JamiiForums Tanzania Nauza Mazda Verisa

    Mkuu hii chuma ipo kwenye mipango yangu, embu fanya hata kwa 16 kamili. Tunaeza kufanya jambo
Back
Top Bottom