Watu wengine bana...cha ajabi ni kipi kwa mh rais wetu kumpongeza Kenyatta Hata kama hawapendani?? Kwani nani hajui Kenyatta na magufuli kua wanatofautiana na why hivyo inafahamika?? Wala hiyo haikua agenda kubwa ni kwamba magufuli na ccm walikua wanamsaport raila na lowasa na chadema...
Kauli yako wewe mtoa post ndio inayoligawa taifa..hakuna popote watu wanapolalamika ni uhayawani wako tu.kwani nani hajui yanayoendelea kati ya Lisu na serikali??? Ukaweke hiyo post kwenye wall ya watoto wa chekechea tuna akili timamu..tuwaache wana siasa wafanye kazi yao ya siasa wengine kila...
Kauli yako wewe mtoa post ndio inayoligawa taifa..hakuna popote watu wanapolalamika ni uhayawani wako tu.kwani nani hajui yanayoendelea kati ya Lisu na serikali??? Ukaweke hiyo post kwenye wall ya watoto wa chekechea tuna akili timamu..tuwaache wana siasa wafanye kazi yao ya siasa wengine kila...
Kauli yako wewe mtoa post ndio inayoligawa taifa..hakuna popote watu wanapolalamika ni uhayawani wako tu.kwani nani hajui yanayoendelea kati ya Lisu na serikali??? Ukaweke hiyo post kwenye wall ya watoto wa chekechea tuna akili timamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true ukianika ukweli hivyo watakuita unapinga Mara ww chadema Mara nyumbu ila time will tel.hawa watu wanafuata mikataba tuliowekeana nao.mm pamoja na kumshukuru mh.rais kwa barua zake nadhani angeanza kujiondoa kwenye hiyo mikataba mibovu na pia mikataba yote ya serikali iwekwe wazi ili...
Hahahahaaaaa nimecheka sana kwa kauli ya mkuu then leo kaweka mpinzani...lakini huenda kitila sio mpinzani labda alikua anatumwa kivuruga vyama vya upinzani
Sasa kwani sio kweli?? Lolote linalofanywa na chombo cha serikali kama polisi ni kwa amri ya wakuu Wao ambao pia wameamriwa toka kwa bosi Wao mkubwa..sasa jiulize bosi Wao mkubwa ni nani??
Kama hili ni kweli basi serikali ikiri tu kua hawana hela za kuwalipa watumishi ila wanazo za kutumia Wao kwenye ngazi ya kisiasa.haiwezekani Mwaka wa pili sasa hakuna ajira mpya na hakuna kupanda madaraja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.