Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

Second July

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
234
323
Mfumo wa uongozi aliouweka Rais
Magufuli awamu hii ndio utakaoliingiza taaifa hili pabaya. Magu amejitahid na amefanikiwa kuweka mfumo wa watu kuwaona wote wanao-challenge mawazo yake ni wezi, wapiga deal, mafisadi, wala rushwa au wamepewa chochote kile wamkosoe. Huu utaratibu ni mbaya na naona taratibu unaanza kulitafuna taifa. Ss hv ukiongea tofaut na mawazo ya Rais au Serikali yako basi ww utaonekana ni moja ya watu hao niliowataja hapo juu. Kuna vitu vingi tu ss hv Mh. Rais anachemka lkn watu (wataalam) wanapiga kimya kwa kuogopa kuonekana hawaitakii mema nchi hii au wamepewa hela (wamehongwa). Hii ni mbaya sana kwa taifa. Ku-challenge (kuhoji) maamuz au mawazo ya Rais (au Seikali) sio usaliti kwa nchi, ni njia nzuri ya kufanikisha mambo yaende, hatuwez kufanana mawazo au mitazamo naukiona mnafanana kwny kila jambo basi ujue anguko lenu limekaribia.

Kwny taarifa ya jana kuna vitu vimepotoshwa /vimekuzwa lkn watu hawawez kuviongelea kwa kuogopa km nlvyosema hapo juu. Mkulu anaposema kwa makontena yale 277 serikali ilkuwa inapoteza mapato kati ya Bil 676 na Trilion 1.147 ya dhahabu sio sahihi. Hizi ni true value (thamani halisi) ya dhahabu iliyopo kwny makontena ambayo ikiuzwa, serikali kupitia TRA itachukua kodi/tozo/mrahaba wa 4% kwa sheria ya ss hv. Kwahiyo hiyo hela yote sio ya kwetu, sisi tuna % tu ya hela hiyo iliyotajwa. Tatizo lililopo ni kuwa kulingana na taarifa ya tume, thamani halisi ya dhahabu ni ndogo kuliko iliyotajwa hapo mwanzoni. Sasa hili tumelikuza na kuwaaminisha wanatanzia tumeibiwa kati ya Bil276 na Trilion 1.147 wakati si kweli chetu pale ni 4% ya true value (Bil 676 to Tril 1.147)
Ni km kwny biashara zingine tu za uzalishaji, utazalisha soda utauza zile soda, baada ya mauzo halisi ya soda zile kwa thamani sahihi ya soda, ile hela iliyopatikana (gross revenue) itapigwa % kadhaa kama kodi/tozo na mzalishaji atabaki na chake baada ya kodi/tozo (net revenue). Sasa jana tumeaminishwa ile gross revenue baada ya kuuza zile dhahabu ni yetu yoteee. Hili tulikosea jana na kuleta tahaaruk kubwa ya kuonuesha kuwa tunaibiwa sana. Ni kweli tunaibiwa lkn tuepuke kukuza mambo.

Haya yote aliyoongelea Maguful hayajaanza leo kuongelewa, yamesemwa muda mrefu tu. Tatizo kubwa ni la mikataba mibovu tuliyokisha kuingia, hii ndio itatupeleka kwenye matatizo. Hatuwez kunufaika kwa kumfuka Prof Mhongo, ndio ana mapungufu yake meng tu, lkn yy sio source ya matatizo ya madini tuliyonayo. Kwa hli alilolifanya mkulu, we will feel the pain in the future, wenye migodi wamewekeza hela nyng sana and they are very smart to make sure they follow the state's (world) rules. Hawawez kuona hisa zao zinaporomoka hv na wasichukue hatua. Km tunavyoona ss hv tuna suffer kwa maamuz mabaya ya Mkapa, vivyo hivyo awamu zijazo tutasuffer kwa maamuzi haya mabaya ya Magufuli
 
G Sam , wachache hawawez kuelewa ni jinsi gani tukio la jana litakuja kutuathiri hapo baadae. Naomba Mungu hili lisije lika-back fire kama sakata lile la Samaki wa Magufuli. Hili sakata la samak, mh alikurupuka hv hv na tmepelekwa mahakani, kesi tumeshindwa, tumeamliwa tulipe bilions of money. Our excellence needs to be very careful, hiz sifa anazopewa zisimleweshe.
 
Mfumo wa uongozi aliouweka Rais
Magufuli awamu hii ndio utakaoliingiza taaifa hili pabaya. Magu amejitahid na amefanikiwa kuweka mfumo wa watu kuwaona wote wanao-challenge mawazo yake ni wezi, wapiga deal, mafisadi, wala rushwa au wamepewa chochote kile wamkosoe. Huu utaratibu ni mbaya na naona taratibu unaanza kulitafuna taifa. Ss hv ukiongea tofaut na mawazo ya Rais au Serikali yako basi ww utaonekana ni moja ya watu hao niliowataja hapo juu. Kuna vitu vingi tu ss hv Mh. Rais anachemka lkn watu (wataalam) wanapiga kimya kwa kuogopa kuonekana hawaitakii mema nchi hii au wamepewa hela (wamehongwa). Hii ni mbaya sana kwa taifa. Ku-challenge (kuhoji) maamuz au mawazo ya Rais (au Seikali) sio usaliti kwa nchi, ni njia nzuri ya kufanikisha mambo yaende, hatuwez kufanana mawazo au mitazamo naukiona mnafanana kwny kila jambo basi ujue anguko lenu limekaribia.

Kwny taarifa ya jana kuna vitu vimepotoshwa /vimekuzwa lkn watu hawawez kuviongelea kwa kuogopa km nlvyosema hapo juu. Mkulu anaposema kwa makontena yale 277 serikali ilkuwa inapoteza mapato kati ya Bil 676 na Trilion 1.147 ya dhahabu sio sahihi. Hizi ni true value (thamani halisi) ya dhahabu iliyopo kwny makontena ambayo ikiuzwa, serikali kupitia TRA itachukua kodi/tozo/mrahaba wa 3% kwa sheria ya ss hv. Kwahiyo hiyo hela yote sio ya kwetu, sisi tuna % tu ya hela hiyo iliyotajwa. Tatizo lililopo ni kuwa kulingana na taarifa ya tume, thamani halisi ya dhahabu ni ndogo kuliko iliyotajwa hapo mwanzoni. Sasa hili tumelikuza na kuwaaminisha wanatanzia tumeibiwa kati ya Bil276 na Trilion 1.147 wakati si kweli chetu pale ni 3% ya true value (Bil 676 to Tril 1.147)
Ni km kwny biashara zingine tu za uzalishaji, utazalisha soda utauza zile soda, baada ya mauzo halisi ya soda zile kwa thamani sahihi ya soda, ile hela iliyopatikana (gross revenue) itapigwa % kadhaa kama kodi/tozo na mzalishaji atabaki na chake baada ya kodi/tozo (net revenue). Sasa jana tumeaminishwa ile gross revenue baada ya kuuza zile dhahabu ni yetu yoteee. Hili tulikosea jana na kuleta tahaaruk kubwa ya kuonuesha kuwa tunaibiwa sana. Ni kweli tunaibiwa lkn tuepuke kukuza mambo.

Haya yote aliyoongelea Maguful hayajaanza leo kuongelewa, yamesemwa muda mrefu tu. Tatizo kubwa ni la mikataba mibovu tuliyokisha kuingia, hii ndio itatupeleka kwenye matatizo. Hatuwez kunufaika kwa kumfuka Prof Mhongo, ndio ana mapungufu yake meng tu, lkn yy sio source ya matatizo ya madini tuliyonayo. Kwa hli alilolifanya mkulu, we will feel the pain in the future, wenye migodi wamewekeza hela nyng sana and they are very smart to make sure they follow the state's (world) rules. Hawawez kuona hisa zao zinaporomoka hv na wasichukue hatua. Km tunavyoona ss hv tuna suffer kwa maamuz mabaya ya Mkapa, vivyo hivyo awamu zijazo tutasuffer kwa maamuzi haya mabaya ya Magufuli
Ukiwa muoga usiogofye na wenzako
 
Hata kama kuna mikataba ya namna gani ni muda sasa wa kuzinduka na kuanza kurekebisha baadhi ya vipengere vinavyotunyonya, ujinga wa kujifanya mchambuzi ili uonekane ni uoga unaoambatana na umasikini wa fikra na ufukara wa uzalendo.

hatuwezi kuendelea kufurahia mikataba ya kifisadi na kinyonyaji iendelee kutamba ilihali macho yetu sote yanaona Mungu atatushangaa.
 
Very true ukianika ukweli hivyo watakuita unapinga Mara ww chadema Mara nyumbu ila time will tel.hawa watu wanafuata mikataba tuliowekeana nao.mm pamoja na kumshukuru mh.rais kwa barua zake nadhani angeanza kujiondoa kwenye hiyo mikataba mibovu na pia mikataba yote ya serikali iwekwe wazi ili tuweze kucriticise ili nao waweze kuincoperate some changes
 
Back
Top Bottom