Kauli ya Pinda inafanyiwa kazi.na kweli tutakoma ni kichapo kwa kwenda mbele, sasa sijui safari hii atasingiziwa nani kuhusika na tukio hili. Haya kazi kwako mwigulu andaa video nyingine ya mipango ya kumdhuru sheikh Ponda
hata pinda yampasa akahojiwe na chagonja kwa maana inaonyesha ni jinsi gani anavyouelewa mpango mzima wa mauaji ya wapendwa wetu.r.i.p. Dada juddy na makamanda wengine mliomwagika damu kwa ajili ya watz. Damu yenu ni chachu ya mapambano
Nadhani hata huo mlima k'njaro MWANA KIPENZI RIZ A.K.A Mzee wa milori a.k.a mzee wa petrol stn. a.k.a mzee wa mijengo ukitaka bingwa wa dili chafu anaulia timing bado hajaupatia soko
ndugu zangu wanajamvi kwanza tujipeni pole kwa janga lililotukuta majuzi kanisani Arusha kwa kuwapoteza ndugu zetu pamoja na wengine kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili.Sasa niongelee hii aibu iliyolikumba taifa kwa ujumla wake, Polisi wetu ambao wanalipwa pesa kutokana na kodi zetu...
Pamoja na kumnyima kamanda haki yake ya msingi . Eti kwasababu hakimu yupo likizo anakula bata na mamsapu je?. Ni mahakama zote huku duniani zinavyofanya kazi.au nae anapitiaga lumumba str. Kuchukua bahasha
Habari za leo wanajamvi. pamoja na ugeni wangu wa kuchangia hapa jamvini nina suala ambalo ningepata mchango wenu wa mawazo ili wengine tufahamu. inakuwaje mtu mmoja anakuwa yupo likizo na asababishe watu wengine wakose haki yao ya kikatiba ya kukosa dhamana? karibuni wanajavi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.