Recent content by K-Katallah

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosomea Hotel Management njoo ujipatie kazi.

    Weka namba yako tukupigie
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zari Arusha Dongo gizani

    Real hny
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

    Ah aha aaaaah ulifel interview mama" ile nilikuwa ni oral" ungesema nae tuu" c ulitaka mumee"
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jiko la dogo Gesi.

    Njoo umchukuwe bureee bek 3 hapa jirani yetu " nilimsikia juz akiomba dua Lin atapa MTU amchukuwe kama jiko"
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Niko tayari kuthibitisha waliovamia ofisi za Clouds Media Group ni Usalama wa Taifa

    Nahic wewe zito humfatilii hats kupitia mitandao " hukuona juz alikuwa na wageni huko jimbon kwake kwa ajiri ya miundo mbinu na kadhalika" zitti in maarufu kabla hats ya bwana mkubwa so usiongee kama anadil na mambo ya DSM " alichoongea hapo ni issues ya taifa sio DSM elewa mkuu sio kukurupuka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Mungu saidia kabando kangu kasikate Leo kesho kanifikishe nishuudie alimasi inavyogeuka kuwa maji " manake huku nilipo vocha za TIGO tabu tupo"
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitaungana na vyama vya upinzani kumsimamisha mgombea mmoja wa urais 2020

    Kama alikuwa wa maana zitto" na kama alikuwa na nia ya kujng'oa madarakan ccm ' kwa nn hakufanya hivyk mwaka 2015, akajifanya yeye na chama chake kusimamisha mgombea " tena mmama' alihalk alijuwa fika kwamba yule mama hatolata uraisi" lakin kafanya figisu figusu ilimradi tu apunguze kura" vip...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kitwanga aibuka, awavaa Gwajima na Makonda

    Daa mi namshaur tu huyu bwana kitwanga anyamaze tu kimya asiingilie hii game ya bshop na mkuu wa mjini " kwa sababu gwajima hachokozeki jamani" asije akajuta kwa alichosema " yeye akatulie tu baa aagize kitwanga zake apunguze sress za maisha kisha asonge
  9. K

    JamiiForums Tanzania Njia mbadala ya kuepuka kufanya PUNYETO (ngono binafsi)

    Ebu weka vizur Uzi wako huu " ili kumfanya MTU kuacha kitu hatar kiafya kama hichi lazma ujikite zaid kwenye kutoa madhara yake tena kwa kina zaid kulikoni kumwambia kijana Apache wakati ukizngatia vijana wengi sana sana humaliza Shida zao kwa kufanya mapenz binafs" hivyo waelezee sababu na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakama Kisutu, asomewa mashitaka Matano, apata dhamana

    Ukiwa unaingizwa maabusu unakabidhisha kila kitu mapokezi unaingia wewe kama wewe " na ukiwa unatoka unaenda mahakamani unarudishiwa kila kitu chako pale mapokezi " hivyo unaweza kufanya mawasiliano na ndugu na jamaa hata ukiwa njian kuelekea mahakamani" na hata ufikapo mahakamani bado...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor ya marketing uzoefu miaka miwili

    Thx sana kaka nime apply hii kitu " tayar
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor ya marketing uzoefu miaka miwili

    Oook mkuu lakin nilitakabkuielezea vizur kwenye body
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor ya marketing uzoefu miaka miwili

    Ndugu jama na marafiki" mwenzenu ndugu yangu anatafuta kazi jamani" anayo bachelor of marketing na uzoefu wa miaka miwili katika field ya marketing " tumsaidien jaman ndugu yetu" mawasiliano ni 0714631706
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

    Ahahahahaahhahah
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mume kavunja simu ya mkewe na kumwachisha kazi kisa mimi

    # unajisifia na kuomba ushaur kwa jambo la kijinga#
Back
Top Bottom