Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema: "...Watazamaji na wasikilizaji wetu mnaojiunga sasa na ITV, Radio One Stereo 'lakini' Capital Radio...."...
Wananikera baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaoiga 'beats' za Kinigeria. Nampongeza Diamond Platnumz na wenzake wengine ambao wameendelea kuikumbatia na kuikuza Bongo Fleva ili na Watanzania tujidai tuna muziki wetu. Tumejitahidi kufurukuta katika michezo na sanaa nyingine imekuwa ngumu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.