Daaah!! Hiv na profile picture ina nyuki na jina la nyuki.....but haviusian.!! Nimekuwa nkiota ndoto nying na nyingine zimetokea hasa zile positive na negative nimekuwa nikiziombea kufuta matokeo yake ila hii inanitafakarisha sana
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka...
Nchi imejaa laana na maagent wa kuzimu..!!! Jiombee wewe na uzao wako Mungu awashike mkono....!!
But kwa kufunga na kuomba yote yanawezekana Mungu ataliponya Taifa....Tusali..tusali...tusali Mungu anaweza yote
WanaJamvi muhali gani...!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
WanaJamvi muhali gani??
Mwenzenu najiulizaga sana kunani jikoni mara baada ya wazee 27 kusukwasukwa na hata zikaja tetesi kuwa kuna mpya inakuja huko kuna kusukwasukwa na kuchekechwa...!
Laahaulaaaa! Leo tumejionea kijani lesotho kikichekechwa na kuchambuliwa kuna watu leo mirija imekata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.